Mtikisiko wa dr slaa matokeo yake ndio haya chama kupoteza watu muhimu kwa kukosa dereva!
Mdogo wangu umenena vyema lakini umeharibu uliposema hana la maana hapa haupo sahihi!Kipara kipya si vibaya wewe kama mwanaccm kujifariji, tuliowengi na post zetu zipo hapa jukwaani toka alipochaguliwa kwamba huyo Patrobas sio aina ya viongozi wanaofaa kuendesha Bavicha. Kuna waliomtetea, leo tulioona uzito wa utendaji wake tuna raha ya ajabu kwa kuondoka kwake. Pia kuondoka kwa Masha ni faraja ya ajabu tunaomba na mamvi naye achape mwendo tufurahi zaidi. Tunamtakia Patrobas maisha mema huko ccm kuliko mlivyotarajia eti litakuwa pengo. Alipokuwa chamani ukiacha sura yake hata mchango wake ulikuwa mdogo sana, kwa maneno marahisi yeye alikuwa pengo tayari kwa kuwa mwenyekiti wa Bavicha. Sio kwamba hakuwa na sifa nyingine lakini nilimkubali sana kwenye uwezo wake wa kujenga hoja na sio utendaji wake. Kwa jinsi mlivyomfurahia huko ccm kwamba mmepata kifaa, na sisi huku cdm tumefurahi sana kuvuja kwa pakacha.
Hana madhara wala maajabu. Alipoondoka startv ilikata matangazo? Isitoshe, aliifanyia nini bavicha tangu awe mwenyekiti? Hakuna legacy yoyote aliyoiacha cdm na hata huko alikokwenda kapeleka usukuma wake tu. Atatapatapa yeye kwa njaa yake ya kusaka nyadhifa! Kwa taarifa yako wanasiasa wanaojielewa na kujitambua mioyo yao na akili zao zipo cdm. Kina Zito na Slaa wanatamani hata leo warudi itakuwa huyo dogo! Hata wewe unakaribishwa kuuhamishia unafiki wako huku.Hakika Chadema wanatapatapa kama kuku anaetaka kukata roho.
Hoja ya chadema ni taasisi ni dhaifu sana taasisi inatakiwa kuongozwa na watu imara na wenye malengo mamoja ya kufikia kile walichokusudia,taasisi hii yenye mipasuko kila eneo taasisi gani labda ya kibao kata!Pole kwahoja yako dhaifu unatafuta kuungwa mkono na makinikia chadema ni taasisi kitambi kimetafuta pakula
Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
sawa mkuu.Tumekusikia.Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Nyumba imeingia utitiri kila mmoja anaikimbia!Hakika Chadema wanatapatapa kama kuku anaetaka kukata roho.
Maoni yako nimeyapokea!Pengo utalijua wewe mlamaba viatu wa bashite? Pambaneni na ushamba wenu wa kutumia bunduki kufanya siasa badala ya kujenga hoja.
Mdogo wangu umenena vyema lakini umeharibu uliposema hana la maana hapa haupo sahihi!
Ni kweli wote tukiwa chadema nani atakuwa Cuf ila tuangalie nini kinasababisha hama hama hii kama mwenye nyumba amepandisha kodi!sawa mkuu.Tumekusikia.
Katambi ameenda CCM
Tutatafuta mwenyekiti Mpya wa BAVICHA
Nadhani sio lazima mtu awe chadema
Mdogo wangu umenena vyema lakini umeharibu uliposema hana la maana hapa haupo sahihi!
ukisikiliza kauli kama alikosa ushirikiano kutoka viongozi wa juu!Mkuu mimi sio mnafiki naweza hata kuvuta post zangu nilizomchana toka alivyochaguliwa. Nilisema alitakiwa mtu mwenye kasi kuliko ya Heche na sio huyo Katambi. Mchango alikuwa nao maana hata mimi mshabiki wa cdm nina mchango wangu huko lakini mdogo. Kwa nafasi yake alipaswa kufanya zaidi ya alichofanya. Namuheshimu kwa uwezo wake wa kujenga hoja hilo nisiwe mchoyo wa fadhila lakini sio mchango kwa maana ya kukuza Bavicha. Mkuu nadhani unanielewa, hata huyo Lowassa inayesemekana alileta kura milioni sita bado simkubali, nini Katambi? Naweza kukutajia watu wenye mchango usioacha shaka kwa cdm lakini sio huyo Katambi, sina chuki naye ila uwezo wake ni mdogo kwenye uongozi wa taasisi. Mpeni nafasi yoyote huko ccm lakini wala hana nguvu kihivyo.
😛😛😛 kwetu raha😛😛😀Nyumba imeingia utitiri kila mmoja anaikimbia!
Tushukuru kwa kupata lulu ktk chama chetu. Hebu nipe sifa zake kwani Pengo na sababu zake zitoshe asije huku kwetu akajiona ndo kila kitu na hili ndo tatizo tunalolizalisha ndani ya chama kwa unaonekana kuja na hoja muflisi. Kwa ujumla sijaona huyo unayemsifiaMpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Utakosa usingizi bure. Chama chako hakitajengeka kwa vile CDM kuna waliohama.ulikua ni msingi wake sasa subiri uone chadema bila slaa itakavyoumia!
Hata hapa jamvini makamanda wamenywea siku hizi mbili tatu.Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua Mwenyekiti wa BAVICHA kujiunga na CCM, inaonyesha CHADEMA wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo na kukosa msimamo.
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya Mwenyekiti.
Kitendo cha CHADEMA nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu.
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka.
CHADEMA jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata Mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
ukisikiliza kauli kama alikosa ushirikiano kutoka viongozi wa juu!
Zizini huko atawakuta walokatwa mikia wengine, km Mpendazote ili wasichoke kujifariji.Hana madhara wala maajabu. Alipoondoka startv ilikata matangazo? Isitoshe, aliifanyia nini bavicha tangu awe mwenyekiti? Hakuna legacy yoyote aliyoiacha cdm na hata huko alikokwenda kapeleka usukuma wake tu. Atatapatapa yeye kwa njaa yake ya kusaka nyadhifa! Kwa taarifa yako wanasiasa wanaojielewa na kujitambua mioyo yao na akili zao zipo cdm. Kina Zito na Slaa wanatamani hata leo warudi itakuwa huyo dogo! Hata wewe unakaribishwa kuuhamishia unafiki wako huku.