kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Huu ss ni ulevi wa ujinga,mleta mada kada Ccm ndo unatapatapa au CHADEMA.Eti imepwaya si ndo mfurahi mpate mteremko.Kweli slowly ana vichwa vibovu vya propagandaHakika Chadema wanatapatapa kama kuku anaetaka kukata roho.
Hizi ni ramli za watu wenye elim ya kaptula.Hapa umestruggle kweli kama umejenga hoja chonganishi.You a mere idiot girlMpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo
na kukosa msimamo,
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya mwenyekiti,
Kitendo cha chadema nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka
Chadema jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
Mtikisiko wa dr slaa matokeo yake ndio haya chama kupoteza watu muhimu kwa kukosa dereva!Aliondoka dr Slaa na tukaendelea
Huyo ni pengo la mdomoni halina madhara yeyote,aliondoka slaa wabunge aliacha 18 leo wko 45Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo
na kukosa msimamo,
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya mwenyekiti,
Kitendo cha chadema nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka
Chadema jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
mpaka 2020 chadema itakuwa chaliiii.Huu ss ni ulevi wa ujinga,mleta mada kada Ccm ndo unatapatapa au CHADEMA.Eti imepwaya si ndo mfurahi mpate mteremko.Kweli slowly ana vichwa vibovu vya propaganda
Cha ajabu na kushangaza mnatumia nguvu kubwa kupambana na kuku anaetaka kukata rohoHakika Chadema wanatapatapa kama kuku anaetaka kukata roho.
sizitaki mbichi hizi aliesema ukweli toka moyoni ni katibu mkuu!Binafsi nimefurahi sana kuondoka kwake aliifanya Bavicha ipooze sana.
Wewe ndiye unayeonekana kupanic mkuu, tambua Chadema ni taasisi.Mpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo
na kukosa msimamo,
Ni pigo baya pigo la kichogo pigo la kushtukiza lazima uchanganyikiwe habari za juu juu kuna watu wengine walishindwa kufanya lolote mpaka wapate kauli ya mwenyekiti,
Kitendo cha chadema nzima kuongelea mtu mmoja na kutaka kuonyesha kua si pengo hapa ndipo panapoleta umuhimu na pengo lake hakuna wa kuliziba kwa muda huu
Fuatilia hapa jamii tu nyuzi ngapi mpaka muda huu homa hofu hofu na mashaka
Chadema jibuni hoja za waliohama msipanic
Angalizo msimuamini hata mbowe anaweza kuwaacha moyo wa mtu ni msitu
ulikua ni msingi wake sasa subiri uone chadema bila slaa itakavyoumia!Huyo ni pengo la mdomoni halina madhara yeyote,aliondoka slaa wabunge aliacha wanane leo wko 45
Pole kwahoja yako dhaifu unatafuta kuungwa mkono na makinikia chadema ni taasisi kitambi kimetafuta pakulaMpaka muda huu tangu itoke ile taarifa ya kushtukiza aliekua mwenyekiti wa bavicha kujiunga na ccm,inaonyesha chadema wamepanic sana kuanzia uongozi taifa mpaka wafuasi wote wameamua kutupa mashambulizi kwa ajili ya kuwafariji wafuasi waaminifu, ambao tangu itoke hii taarifa inaonyesha wametetereka kidogo