The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
Kwa mujibu wa gazeti la Mawio la Said Kubenea ni kwamba katibu mkuu anaestaafu ndugu Patrick Rutabanzibwa ni mzalendo na mchapakazi hodari na kwamba siofisadi ila alitajwa kwenye orodha ya mafisadi na Dr Slaa kimakosa... na kwamba Dr Slaa alikiri kuwa yalikuwa makosa kumtaja huyu mtu...
Na kingine ni kuwa bila yeye miradi mbalimbali ya serikali kama ule wa Vitambulisho vya Uraia inge kwama lakini yeye kwa kuipenda nchi yake alihakikisha inatekelezwa..
Najiuliza tu: Ukweli wa habari hizi ukoje?