Mkuu Timbilimu, we're used to these kinds of tirade - uzuri tunajua kinacho sababisha yote haya - mkuu unajua kuna baadhi ya Watanzania wenzetu wenye latent ... ya raia wanao toka kanda fulani bila ya sababu za msingi! Hata kama wanajua jina lako awalisemi, utawasikia wanasema yule 'MCHAGA' au yule 'MHAYA' yaani inakuwa raisi kwao kutamka kabila badala ya kutamka jina!! Mimi niliuliza swali dogo tu kwamba mbona Jenerali Ulimwengu aliwahi kuomba kustaafu kazi mapema, na bila shaka alitoa sababu za msingi ndio maana alikubaliwa kustaafu mapema - ni hilo tu! Sasa kulikuwa na sababu gani ya baadhi ya wanaJF kunijia juu - kama wana issues binafsi na mzalendo Rutabanzibwa waseme na sio ku-vent hasira zao kwa watu wengine.