Patrick Oita Nyapara: Askari Polisi aliyemtandika mpenzi wake Risasi 47

Ni kweli gharama zangu utarudisha ..je muda wangu uliopoteza?? Je kwenye jamii nitaonekanaje kwa aibu uliyonishababishia?? Je hayo maumivu ya usaliti wako pia nitaya vumiliaje ??..mwisho wa siku wewe ndio uonekane mshindi kirahisi tu!! Jamaa amefanya uamuzi murua sana
Uamuzi murua kuwa sasa hivi anaonekanaje katika jamii. Je yuko wapi?
 
ni sawa

hiyo ndio zawad yake mwanamke mshenzi
badala angepambaana na ajira akamnyanyua huyo.mwanaume
Kakosea sana ilitakiwa achukue bomu amumezeshe alafu hizo risasi 47 ndio zinafuata wao kote vipande vipande angemchukua mama mkwe akamchakaza
kwa mm ili kuepusha dhambi kubwa ya mauaji basi ngoja nipate dhambi ndogo ya kutomsaidia kabisa,

USINIAMBIE DHAMBI ZOTE NI SAWA, hizi dhambi kuna za jumla na reja rejaa blv me,
Huyo jamaa alikosea sana kuwaacha mama mkwe wake na dada yake marehemu hai.ilitakiwa warambwe risasi na wao

Sent from my iPhone using JamiiForums
She deserves it.
Eti katafute hadhi yako ambaye ni mgambo kama wewe....akati ye mwenyewe akiwa kijijini hakuwa na hadhi hata ya kuolewa na mgambo.
Tujifunze kuweka kumbukumbu ya tulipotoka na tuwe na shukrani kwa mema tunayotendewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga hoja zote hapo juu
 
Uamuzi murua kuwa sasa hivi anaonekanaje katika jamii. Je yuko wapi?
Kulingana na alichokifanya sasa hivi yuko jela ila kuna mauaji ya kukusudia na yasiyo ya kukudia ..kama Mimi ningekuwa hakimu nisinge muhukumu kwa sababu hakukusudia kuua kabisa na pia hakuwa katika hali yake ya kawaida ..
 
Pale mnapotaka kugeuka wazazi wa mtoto wa wanaume wenzenu kisa mapenzi, hv ukooni kwako umeshasaidia wangapi mpaka ukasomeshe mtoto wa mwenzio? tena ukute huko kijijini kwenu kuna vijana na mabinti kibao wamekaa wanatafuta wa kuwasomesha hamna alafu wewe unaenda beba mtu baki eti unamsomesha, achaga yawakute mana wajinga ndo waliwao. Bora umuoe kwanza awe mama watoto ndo umfanyie hivyo vitu lakini sio gf
 
She deserves it.
Eti katafute hadhi yako ambaye ni mgambo kama wewe....akati ye mwenyewe akiwa kijijini hakuwa na hadhi hata ya kuolewa na mgambo.
Tujifunze kuweka kumbukumbu ya tulipotoka na tuwe na shukrani kwa mema tunayotendewa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa Kama hakumpenda.

Ila mi naonaga kifo sio adhabu nzuri kwa mtu...akishakufa umemwadhibu Nini?? Hapati maumivu...yeye haoni...labda waliobaki ndio watakosa kitu.

Adhabu mpe mtu aone...afeel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ukimuendeleza ukitegemea atakuja kukusaidia....Sahau hiyo
Ktk mia lbda yupo mmoja wengine wote hamna kitu!
Kuna kisa hiki cha kweli jamaa alimfaitia dem wake akasome uingereza jamaa alienda mbio kweli
Dem Kufika huko akazoea maisha ya huko mwishowe akaja kumwambia jamaa hku bongo aendelee tu na maisha yake yeye Hana tena na mpango nayo.....jamaa alibakia hoi bin taaban
Hawa viumbe hawana huruma kabisa

Ova

kweli kbsaa, kifo hakimfanyi ajutieee, mm mtu km huyoo kama anaumwa mahututi anataka akate roho nipo lazi nimlipiee pesa awekewe mashine ya kupumulia na kumletea chakula asife haraka na pale kitandani nahakikisha hapakosi, siafu, kunguni, pakacha, viroboto na vingne ving vya kukeraaa
 
Mwanamke ukimuendeleza ukitegemea atakuja kukusaidia....Sahau hiyo
Ktk mia lbda yupo mmoja wengine wote hamna kitu!
Kuna kisa hiki cha kweli jamaa alimfaitia dem wake akasome uingereza jamaa alienda mbio kweli
Dem Kufika huko akazoea maisha ya huko mwishowe akaja kumwambia jamaa hku bongo aendelee tu na maisha yake yeye Hana tena na mpango nayo.....jamaa alibakia hoi bin taaban
Hawa viumbe hawana huruma kabisa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa "ishi na mwanamke kwa akili".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom