mark girland
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,026
- 755
Labda jamaa aliamua kuwa TasafUmsomeshe mchumba kwani we baba ake?
wacha mchumba hata mke hupaswi kumsomesha kama hajasoma kwao basi,labda kashort course kaujasiriamaliALIMPIGA RISASI 47
Na Juma Sylvestre Max...
Patrick Oita Nyapara police jamii nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kujifanya mjanja.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada Christine Maonga kutoka ktk familia duni iliyokuwa ikiishi kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.
Wakati akimlipia karo na mahitaji mengine Patrick alikuwa akituma pesa pia kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.
Baada ya kuhitimu masomo yake Christine alimwambia mpenzi wake kuwa amechoka kuwa naye kwani ni MTU asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila MTU afanye mambo yake.
"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni mkurugenzi wa kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick MTU usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu" aliongeza Christine.
Patrick alichanganyikiwa sana akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.
Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia Mme wa kumuoa binti yake hivyo anapaswa aachwe ajiamlie yeye mwenyewe.
Patrick hakukubali akamtafuta Dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu chuo kikuu hivyo atafute wa level ya mgambo kama yeye.
Aliondoka na kurudi nyumbani kufanya uamzi mgumu wa kumuita Christine sehemu ya hotel au nyumbani, walikubaliana kukutana wayamalize na waachane kabisa na binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi.
Alifika na kumkuta Patrick amejihami kama boko haram, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Nayeye jela maisha.
Kwani kumsomesha mtu ndio kumuoa? Mambo mengine wanaume muwe waelewa.
apana sio RPG labda ant-tank ingemfaaMimi nisomeshe kisha niambiwe sina kigezo. 47 chache sana yule ilikuwa inahitajika RPG
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli gharama zangu utarudisha ..je muda wangu uliopoteza?? Je kwenye jamii nitaonekanaje kwa aibu uliyonishababishia?? Je hayo maumivu ya usaliti wako pia nitaya vumiliaje ??..mwisho wa siku wewe ndio uonekane mshindi kirahisi tu!! Jamaa amefanya uamuzi murua sanaUkiomba kurudishiwa gharama zako unarudishiwa tu. Moto hata wewe unakuhusu. Mie unaniua story inaisha unabaki na mateso na majuto yasoisha.
Jamaa alifanya maamuz sahihi katika mda sahihiPatrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.
Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.
Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake.
View attachment 1072147
"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine.
Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.
Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye.
View attachment 1072149
View attachment 1072150
Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Nini maoni yako kwa Patrick Oita? Na Je ungekuwa wewe ungefanyaje?
View attachment 1072075
Cc Zero IQ