Patrick Assenga arejea CHADEMA akitokea CHAUMMA

Wasiwape kadi za uhanachama ikitokea wakapata kadi CCM itawapa Uogozi mkuu kama walivyofanya kwa Cuf, CCM wajanja wanawarudisha ili wakachukue Uongozi.
 
Mission imefeli so ni kuangalia namna ya kurud CDM, hawa kuku wawe wanachama wa kawaida tu
Wasipe uhanachama ikitokea wamepewa msajili ataleta utapeli wa kuengua Uongozi uliopo ili ufanyike uchaguzi upya na wakina Msingwa watagombea na kushinda na kuwa Mwenyekiti na hapo CCM watakua wameshinda na kukiua Chama kama walivyo kiua chama cha Cuf
 
Erythrocyte ßahiri watu kwenye mikutano hii. Unda kitengo cha usajiri
 
Hawa wamechanganywa na ile michango ya wananchi kwa chadema,sasa wanarudi kwa kasi wakidhani Kuna pesa za kwenda kula kizembe.

Chadema waje Lindi ,nitachangia pesa ndefu sana na wanipe na kadi
 
Kwa CDM sio rahisi cz wanajua madhara yake, pia CDM ya lissu ni tofaut na CDM ya mbowe
 
Yericko Nyerere anarudi lini?...
 
Ila,huyo mzee "Salasa" si mtu.Kwa walichomtenda "Mama Tanzania",Mola anamuona.
Mkuu Mbatia mwenyewe aliingizwa kingi na Magufuli. Alimdanganya NCCR itakuwa chama rasmi cha upinzani, watapewa wabunge 20 ili awe mpinzani bandia. Kuna kipindi alienda Mbeya kwa escote ya polisi akapewa na magari. Matokeo yake akadanganywa na Selasini alifanya vizuri sana kumnyoosha. BTW huyu Asenga mbona ana sura ya kilevi namna hii! Hawa ndiyo walijiona ni magwiji wa kwenda kuendeleza CHAUMMA? Na kina Yeriko? Kazi kweli kweli.
 
Wameanza kuimimbi Marekani
 
Hahaha
 
kwa maoni yangu walioenda ccm wapokelewe kama wanachama wakawaida iabisa wakirudi ila walioenda chauma wasipokelewe ba ikibidi watandikwe hata makofi wakijaribu kujisogeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…