Patrice Lumumba

Wenyewe walikuwa wanamuita Papaa Mobutu, kuna kańyimbo kake flani walikuwa wanämuimba sana
Unazungumzia "lokuta monene ? "
Haya ndio mashairi yake
”Papaa Mobutu ee, lokuta monene, oy’akanisaka, MPR ekokufaha, wayahaa, Tata Marechal, tikala libela, tata Mobutuee, tikala libela,

Maana yake . Baba mobutu utakaa udumu.wanasema sana MPR itakufa ,haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema patrice lumumba aliuawa kwa kuwekewa sumu kwenye mswaki? Aisee... Nadhan mimi nlikuwa na uelewa wa tofauti.maana mimi nafaham alikuwa excuted...aliuawa kwa kupigwa risasi.
Huyo mkuu kachanganya. Hiyo ya mswaki ilikua proposed by CIA lakini wakaachana nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Patrice Lumumba leo hayupo duniani lakini kaacha Legacy inayodumu milele. japo hakuna kaburi wala mfupa wako hapa duniani lakini RIP Papaa Patrice Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…