Patrice Lumumba

Unasema patrice lumumba aliuawa kwa kuwekewa sumu kwenye mswaki? Aisee... Nadhan mimi nlikuwa na uelewa wa tofauti.maana mimi nafaham alikuwa excuted...aliuawa kwa kupigwa risasi.
Yupo mwana CIA mmoja ( jina limenitoka ) alikiri kuwa yeye ndiye alitumwa kwa ajiri ya kumuwekea Lumumba sumu kwenye mswaki, ila anadai ya kuwa hakutekeleza mpango huo.
 
Kwa miaka ile Africa ilikuwa bado changa sana kuweza kujisimamia hivyo kupelekea watu waliokuwa/walioonekana kuwa tishio kwa maslahi ya nchi kubwa kuondolewa katika madaraka.

Ila Patrice Lumumba hakustahili alichotendewa
 
Lumumba hakuuwawa kwa sumu, alitekwa na akipigwa risasi maeneo ya Lubumbashi angalia vizuri Makala za CIA na makachero wa Ubelgiji.
 
Na picha za kutekwa akipandishwa akiwa ktk gari zipo
Jamaa alizalilishwa sana, Wabelgiji, Wafaransa na Wamarekani siyo watu wazuri, na hiyo nchi imebeba laana ya damu ya Patrice Lumumba. Uzalilishaji ule ndo tuliushuhudia Libya kwa Gadafi napo laana haitawaacha salama.
Huwa nikiangalia makala za namna walivyopanga kumuuwa hadi najiuliza hizi ngozi nyeupe hazitupendi na sisi tunajiprndekeza sana kwao
 
Lumumba hakufa kwa sumu,wanasema aliwekewa sumu wasome vzr vyanzo vyao..Lumumba alitekwa/kamatwa na baada ya hapo hakuonekana tena

Chini picha Patrick Lumumba akiwa amekatwa
 
Ni kweli kabisa ,nchi ya Congo ni nchi ambayo ina history tofauti kbs ,hasa kwa viongozi wao, wenye wanakuambia ni nchi ya mizimu ( cjui ni kweli au vipi)
 
Ni kweli kabisa ,nchi ya Congo ni nchi ambayo ina history tofauti kbs ,hasa kwa viongozi wao, wenye wanakuambia ni nchi ya mizimu ( cjui ni kweli au vipi)
Siyo Congo tu hata Angola(USA-Portugal), Congobrzaville, CA, yaani tuseme nchi ambazo zilitawaliwa na Ufaransa na Ubelgiji ni tatizo sana, hao jamaa wangetulia wangekuwa injini ya Maendeleo Afrika.
Au wazungu walishafanya yao kwa Wakongo kuwafanya ndondocha yaa raia hawajielewi kabisa
 
Ktk hizo nchi ulizotaja nimefika mbili CA na RDC, hawa jamaa wamwvurugwa na wazungu ,nadhani ni haya madini ,maana vichwa vyao havitumiki vyema kbs ,Congo hasa Katanga asee kuna Mali/utajiri mpk basi ,mataifa yote makubwa yako hapa kuchota Mali ,lkn suala la chakula tu tu utata
 
Huwa najiuliza sana hizi Chanjo tunazochomwa tukiwa wadogo lazima waafrika zimetuathiri hatujui kuunga na kusema inatosha, tumejawa na tamaa na kuonekana kwa wazungu kwamba tunapesa individually lakini kiichi hamna kitu
 
Huwa najiuliza sana hizi Chanjo tunazochomwa tukiwa wadogo lazima waafrika zimetuathiri hatujui kuunga na kusema inatosha, tumejawa na tamaa na kuonekana kwa wazungu kwamba tunapesa individually lakini kiichi hamna kitu
Km ni chanjo mbn hata east Africa wanachanjwa? Hii central Africa tu ndio inamatatizo ,huku watu akili zao wanajua wenyewe ujue, ziko mboo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…