Ngoja niwajibu wote:
Uko mwaka wa mwisho chuo, ni kiongozi wa chuo na ni mentor-tena chairman of the mentors. Wanakuja wanafunzi wapya na mmoja kati yao mnatokea kupatana. Mnaongea in the normal relationship of a mentor and a mentee. (Na hapa inafaa mfahamu kuwa as a mentor kuna vitu unafaa kuobserve kama: not to be involved in a relationship with your mentee!!!) Na mimi kama kiongozi sikulisahau hili.
Basi tukaendlea hivyo na baada ya muda nikatokea kumpenda. Wakati huo huo nakaribia kumaliza chuo, akapata boyfriend. Akaja kwangu-as a mentor and friend nimpe ushauri. Nikamwambia do as your heart tells you but take care you dont end up with someone you dont love.
Wakaendelea..na mimi nikamalizia masomo yangu. Nikaenda kusoma zaidi sasa nimeanza kazi na ninafikiria to get steady into a relatioship that will lead to a marriage relationship!
Udomo zege angu uko wapi?
And no, sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mwingine btn then and now..as i said; "I believe in knowing someone before i commit myself to truly loving them" Wote niliokutana nao hawajafikia expectations zangu. aliyefikia, ndo huyu ambaye sasa ana bf..!!???
I hope I have made myself clear!
*Oh and btw, tunaonge sana and I know they are not even thinking abt marriage ndo maana naonelea kusibiri till April..