Patience mpaka lini..!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Patience mpaka lini..!??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mentor, Mar 9, 2010.

 1. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Wadau salaam,
  Naandika hii with a clear knowledge of the ancestors' saying that:"Patience pays."
  But I sat back and thought...how long should you wait?
  I just lost her...and may be I may not have her again...but seriously doesnt patience have its limits??!
  It happened three years ago in college,
  We met-I as a senior student and her a new student-and became great friends. I used to help her in studies, life and we just hanged around together. As a result I fell in love with her...She never realized it, because anyway i neva told her!
  I believed in patience, and so I kept my piece acting like the normal good friend she has always known.
  Just before I completed school she got a boyfriend. Some guy she just knew for two weeks and voila..they were in a relationship. She came to me as a friend asking for ideas. That she just liked him but she is trying to see if it might work. I told her to do what she felt was right. In my heart I was hurting a lot..
  I still believed in patience. I thought she will come to realize how much I love her. She always used to tell me "I love you"..and I never understood that kind of love she was talking about.
  Anyway, it is three years now..I am ready to let her know what I feel about her and I still remember the words of our ancestors; "Love is Patience".
  For how long then? Until when I hear they are getting married?
  I am a bit confused...Does patience have limits?
  What should someone be doing to the person they love during the waiting time..so that they don't end up loosing them?:confused:
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kama hukumwambia hisia zako ulitegemea azitambue yeye? Ulifanya kosa. Labda alikupenda akisubiri uchukue jukumu la kumtamkia. Labda nae moyo unamuuma kwamba hukumpenda. Haijalishi kama yuko kwenye mahusiano, isipokuwa kama wameshafunga ndoa. Waweza ona hali yake kama wanapendana kweli maana mnaonana. Mweleze hisia zako labda anasubiri kwani huko aliko labda kajishikiza tu. Nxt time dont wait a woman to tell you everything. She wont and you will end up in pain again
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka kosa kubwa hilo. dem kakusubiri wewe umtamkie kaona kimya akahisi labda mgosi agona,ah mwanaume wewe bwana unaogopa nini? au unataka kutuletea mambo ya kwenye magazeti?
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,545
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
  Changamka mkuu, I hope it is not too late to reveal you love to this beautiful lady. All the best.
   
 5. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Lakini si lazima umfahamu vizuri mtu kingi..unatamka tu kwa sababu there is that feeling! I need to know her better kwani mimi naamini kuwa;"It takes more than love to be together."
  Red: Kwani ukimpenda mtu solution ni kutafuta mwingine ama kusubiri ikiwezekana kuonyesha ile ya kichokozi flani!!!???
  Blue: I might be biased...!!!
  Pink: Nitamweleza lakini inaniuma kiasi and somehow i doubt kama kweli ni yeye ama ni kwa sababu sijakutana na mwingine!! unajua wakati bado nipo chuo na yeye wana hang out na huyu kijana...walikuwa wanakiss, hugs...sometimes hata ninaweza kuwaona...!!!sasa hivi sijui how much more wamefanya..is she really worth it!??
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,545
  Likes Received: 81,981
  Trophy Points: 280
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Put yourself in my shoes...ungeenda kumuambia!??
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Man, unampenda lakini unamwogopa. Mbona unataka ushauri kwa jambo ambalo huko tayari? Kama unadhani unampenda mjulishe. Kissing and doing it is not an issue
   
 9. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Patience is a virtue, lkn ya kwako ni tofauti. You have infact not told her your feelings, so what patience are we referring to. I would suggest you do that and only 2 things can happen. Anaweza kuwa na same feelings au hapana. But its such a good feeling kujua unapostand.... na hapo unaweza kumove on. If she comes back to you it was meant to be if not, wish her well with whomever she is with. Yaani Let her go and be happy.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  give me her number.. I'll help you out..
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Interesting!
  Hivi go-betweens wapo tena siku hizi au ni enzi zile za wahenga?
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Mmh Kingi...ts easily said than done!!!That's y nikakuambia put urself in my shoes...
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Theodora, patience si baada ya kumwambia!ts practiced b4...when you want to get to know a person kabla uropoke tu unampenda! Sikutaka kumwambia nampenda halafu baadaye baada ya kumfahamu vizuri nianze kujutia....Nikavuta subra, huku nikiendelea kumfahamu zaidi! (Plus masomo yalichangia, and my position by the time I was in college!)
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  +257...
  Hiyo nyingine nitakuPM!
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  so be real to mwanakijiji. he might talk to her
   
 16. T

  Tall JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kwanza, kabla sijacomment chochote, unaukumbuka ule wimbo unaosema ....subira yangu ndio ilonipooooonza....ngoja ngoja naonekana ZOBA ...kwasababu nilimpenda kweeeeeli. unaujua eee. OK,ila mimi sijasema we zoba.
  Ushauri; sina shaka unampenda nae anakupenda, basi kwa kasi ya ajabu ikwezekana wiki hilil hili KAMVALISHE PETE YA UCHUMBA.Akikataa achana nae futa kichwani mwako kwani hapo ujue una GALASA (zile karata.mbovu..)huna rafikiAkikubali unajiandaa,kumuoa.
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  we mwambie ukweli jinsi unavyojisikia juu yake...ni ngumu sana kwa mwanamke kukutamkia kuwa anakupenda kama ni wa kitanzania ni wachache wenye moyo huo...na pia miaka mitatu bado tu hujamfahamu vizuri?
   
 18. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  U don't have to say it to mean it!!!!
  Distance kaka...
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu..huh!
  Angalia hii maneno Mkuu!
  Anaweza akakupa lugha ambayo imani ikakuisha!
   
 20. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,696
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Preta, naweza sema ninamfahamu na mimi niko tayari kumuambia anytime we meet. (Kwa sasa tuko mbali kiasi...bado ndo anamalizia chuo).
  Shida ni anaboyfriend kwa sasa...
  Ama kweli "mvumilivu hula mbivu ila akivumilia sana hula mbovu!"

  NB: For the sake of people who are in my situation now; Ni nini mtu ufanye in that period of being patient! Wakati unachukua muda kumfahamu...ili usikurupuke kuingia into a relationship u were not ready for au ili usimpoteze/asichukuliwe na vicheche!!!
   
Loading...