Patcho Mwamba

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,510
5,707
Wadau, huyu mwimbaji wa FM Academia na sometimes mcheza bongo movie,hua namkubali sana mimi binafsi.

Aliwahi kuhojiwa ,akasema Kanumba aliniambia niingie kwenye bongo movie,kwa kuwa mimi ndio napiga pamba kali kuliko wote.

Binafsi mimi nakubaliana na hilo kwa kupiga pamba kali huyu jamaa.

BIG UP SANA
pATCHO MWAMBA
Mutu ya Congo.
 
Hatamani kurudi kwao.
Na katika ukoo wake yeye ndo mwenye watoto kidogo. By then alikuwa nao 8
 
Ameanzisha kipindi kinaitwa bana Congo kitarushwa chaneli mojawapo ya Azam,utv siku ya jumatano saa tatu usiku.
 
Back
Top Bottom