patch ya idm

patch ya idm

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,441
Reaction score
3,613
habaari, kuna mtu aliwahi post humu jinsi ya kutumia patch kwenye idm nilikuwa na hiyo setup lakini imepotea. naomba anayejua link ya kupata anatumie kwani nimejaribu ku search humu kwa kila namna nimeshindwa. thanks in advance.
 
Sina patch ila na recommend utumie Free Download Manager ni ya bure hii hakuna haja ya kuiba wala kihangaika na cracks.
 
kuna file liko kwenye downloads.>comperssed>idm..... fanya kuifungua then nenda file limeandikwa patch..lifungue...utakuta ka app kameandikwa patch langi ya blue...minimize..nenda my computer>local disk c>program files>internet..... then rudi kule ulko minimize mwanzo... drag iyo app ya blue kwa idm uliyofungua kwenye program files...run iyo app kama ulivofanya mwanzo...kila ukiupdate itakubidi uitafute iyo patch ui run....
cheers...
 
nenda kwenye hii blog: khurramssoftware jipakulie idm na crack yake, mwaka mzima sasa natumia hii kitu bila wasiwasi.
 
Back
Top Bottom