Patashika nguo kuchanika - Kina dada

mhh mpaka nafikia hapa ntapaswa kurudi unyagoni:washing:
 
wanawake wakipigana ni kuvutana nywele na kuchaniana nguo tu,hapo hata hawapigani.
 
Ha ha hapa sio New York..hapa ni bongo vichochoroni kwenye pub moja...angalia miguuu imechika vumbi..uvaaji wa nguo..balaa
 
wanawake wakipigana ni kuvutana nywele na kuchaniana nguo tu,hapo hata hawapigani.

Cheusi mzima lakini?

Nilikusubiri sana siku ya chai day pale lunch time Hotel mabibo hukuja, nilitaka nione kama unafanana na avatar yako.
 
Wangeelewana tu wakapeana zamu.
 
hawa wangejiunga na mieleka ingekuwa bomba sana
 
Ha ha hapa sio New York..hapa ni bongo vichochoroni kwenye pub moja...angalia miguuu imechika vumbi..uvaaji wa nguo..balaa

kweli naona sigara SM kwa pembeni pale:lol:
 
Duh!! Kazi kweli lazima walikuwa wanagombania kitu hawa
 
ni MILLEN MAGESE FORMER MISS TANZANIA SASA SUPER MODEL NA ROSEMARY KOKULHIWA WA FASHIONJUNKII
 
ilikuwa wap nataka mi ni promota wa ngumi za kina mama
 
mh! Huyo mwenye suruali kama vile anashindilia skuna tumboni kwa mwenzake!!
 
wenzano wanagombania njuruku wao wanagombania UKIMWI
 
Umiss na umodo umiamia umieleka waache walikuwa wanakula tizi hao.
 
Cheusi mzima lakini?

Nilikusubiri sana siku ya chai day pale lunch time Hotel mabibo hukuja, nilitaka nione kama unafanana na avatar yako.

mim sijambo mkuu malila.
kumbe ndio sbb yakunialika hiyo,nilidhani nilialikwa kutoa mawazo na michango yangu kumbe sivyo,nashukuru kunijuza hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…