Patachimbikaaaaaa!!!!

Hahahahaa mmeachwa solemba. Ndio tatizo la kuwamendea wake za watu.
cc: Daudi1, Rich Pol
 
Nami nimekaguliwa rasmi. Sasa humu ndani mtu asinisumbue oooh hujakaguliwa nitamparula makucha.
Nishamalizana na babu Asprin kanikagua mwanzo mwisho.

Am sorry mume wangu sungura 1980 najua hutaki kusikia mimi kukaguliwa ila acha tufuate sheria za hii nchi.
 
Nilikuwa kwenye ukaguzi akili yangu bado haipo sawa, nikitulia nitakujibu wangu.

Pole sana honey! Unajua kutwa nzima leo sina raha hata kidogo, natamani twende Saadan tukapumzike hata siku mbili, pumzika basi tutaongea baadae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…