Patachimbikaaaaaa!!!!

Mkuu case imeshakuwa kubwa mpaka amemuita baba mkwe ujue tayari anamaamuzi yake kichwani, nakushauri utafute mnyonge mmpore mke utulie, subiri hiyo saa tisa usikie maamuzi magumu.

i love her and i have 8 flowers for her
 
Mwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.
Niko hapa mzee kijana mtulivu nitamfariji mwanao na baada ya maamuzi nitakuja haraka kumlipia mahari wasikuzeeshe bure ukafa kwa presha
 
Hahahahaa naona unajipigia promo kwa mzee

Yaani najitahidi lakini Mtoto mgumu kweli, ila sijakata tamaa, akikubari naoa kabisa, kweli kutongoza kazi kumshawishi mtu na hakiri zake mpaka aanze kutoa nguo, inahitaji skills!!
 
Urani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo

nilikuambia uache kummendea mume wangu kabla ya valentine but ukusikia...... Sa imekula kwako
 
Last edited by a moderator:
Yaani najitahidi lakini Mtoto mgumu kweli, ila sijakata tamaa, akikubari naoa kabisa, kweli kutongoza kazi kumshawishi mtu na hakiri zake mpaka aanze kutoa nguo, inahitaji skills!!
Kweli mkuu kumshawishi mtu mzima mpaka anakubali ujue umefanya kazi kubwa,akikupenda kazi huwa rahisi ila kama hajakupenda lol! ila usikate tamaa,wenzako tunamsubiria baba mkwe ili ajulikane staring nani anatakaye utwaa moyo wa binti yake 'valentina'
 
nilikuambia uache kummendea mume wangu kabla ya valentine but ukusikia...... Sa imekula kwako
Hapana mwambie acheze karata yake vizuri nipo kwa ajiri yake hatakuja kulalamika tena humu nitatumia nafasi vizuri endapo nitapewa
 
Kweli mkuu kumshawishi mtu mzima mpaka anakubali ujue umefanya kazi kubwa,akikupenda kazi huwa rahisi ila kama hajakupenda lol! ila usikate tamaa,wenzako tunamsubiria baba mkwe ili ajulikane staring nani anatakaye utwaa moyo wa binti yake 'valentina'

Kwa jinsi nilivyoona jamaa ameshamwagwa tayari! Ila inatafutwa njia ya kumfukishia ujumbe, kazi kwako sasa, Mtoto leo usilale nae home, kalale nae hotel pembeni na beach ili feelings zake zirudi kawaida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…