Pata za mtaaa!, mademu na mitandao!

Pata za mtaaa!, mademu na mitandao!

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Tukifananisha makampuni ya simu na mademu tunaweza kupata majibu yafuatayo kitaaa!

ni udaku tu usichukie

Airtel ni sister du anaependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo;

Zantel ni jimama la kulea vitoto;

ttcl ni kibibi kinachojilazimishia ujana;

tiGO changudoa asiejali maslahi na asie na bei;

vodacom ni demu mwenye msimamo anaefaa kuwa mke , haya sasa, jichagulie.
 
Duh kwenye tigo unagusa wengi! Ila ukwel nikikuta msichana asiyetumia tigo uwanamchukulia level ya juu na wengi wao ni wastaharabu.
 
eheee nimekumbuka, wengi wao machangudoa na wanafunzi wa sekondari wanaotumia simu wakati hawaruhusiwi.
 
Tukifananisha makampuni ya simu na mademu tunaweza kupata majibu yafuatayo kitaaa!

ni udaku tu usichukie

Airtel ni sister du anaependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo;

Zantel ni jimama la kulea vitoto;

ttcl ni kibibi kinachojilazimishia ujana;

tiGO changudoa asiejali maslahi na asie na bei;

vodacom ni demu mwenye msimamo anaefaa kuwa mke , haya sasa, jichagulie.
Hapo kwenye red, we utakuwa na hisa na Rostam Aziz
 
Lakini AIRTELL ni the cheapest in TZ hasa kwa airtel kwenda airtel.
 
Back
Top Bottom