Pata website ya biashara(E-commerce) na M-PESA.. Itaunganishwa...

Tatizo nn?? Cha muhimu nimeunganisha na mpesa.... Aijalidhi kama na outsource au natengeneza mwenyewe.......
Alright, send me your email, i have a client that needs m-pesa integration on his site. Will email you his contacts, pia niambie what language you can integrate m-pesa with because i am creating a rails app that i'd like to integrate with some sort of online payements including m-pesa, can you do it with Ruby?
 
tembelea link hii Home ndo website ninayoifanyia kazi sasa..... ila sijaimalizia ila mtu unaweza kulipa kwa mpesa hapo akitaka kudownload kitu..... kesho kutwa nitawaweka mfano wa web niliyotengenezea php na nikaconfigure mpesa.......
 
i hope your next comment post will have a link to the Demo ili tuache kudoubt, kuna wahuni wengi mjini kutuambia wanafanya hivi ukiwapa kazi wafanye wanaanza porojo, tudhihirihishie wewe sio mmoja wa hao wahuni, usijibu comment hii na porojo jibu na demo link.

kumbe stick ni ofa! Nataka uweke kwenye thread yangu ila c kwa ofa bali kwa kulipa. Nilipe kiac gan?
 
tembelea link hii Home ndo website ninayoifanyia kazi sasa..... ila sijaimalizia ila mtu unaweza kulipa kwa mpesa hapo akitaka kudownload kitu..... kesho kutwa nitawaweka mfano wa web niliyotengenezea php na nikaconfigure mpesa.......
nimeshindwa kulipa kwa mpesa, nimeona tu bus, pesapal,
 
Hapo ungelili conferm purchace kwa chini.... Hiyo bus achana nayo kama ilivyo... Ila utajaza information zako za shipment.... Na baada ya hapo itakupeleka kulipia kwa mpesa.....
 
tembelea link hii Home ndo website ninayoifanyia kazi sasa..... ila sijaimalizia ila mtu unaweza kulipa kwa mpesa hapo akitaka kudownload kitu..... kesho kutwa nitawaweka mfano wa web niliyotengenezea php na nikaconfigure mpesa.......
mbona haifunguki mkuu. unafanya bei gani mfano mtu aweze kulipia kwa mpesa, tigopesa,airtelmoney,halopesa, mastercard, pay-pal etc.
 
i hope your next comment post will have a link to the Demo ili tuache kudoubt, kuna wahuni wengi mjini kutuambia wanafanya hivi ukiwapa kazi wafanye wanaanza porojo, tudhihirihishie wewe sio mmoja wa hao wahuni, usijibu comment hii na porojo jibu na demo link.
Sidhani wewe ni mteja, utakua unataka tu kuonekana unajua au unataka kujua anaweza kiasi gani, Kama una Nia m PM, alafu mpatane unalipa akitengeza kitu Kama alivyosema...usiwe mwoga hvyo huibiwi kizembe hvyo
 
Back
Top Bottom