Pata viatu na bidhaa za ngozi

Pata viatu na bidhaa za ngozi

Mnachokosea ni kwenye bei,ngozi ni ya hapa nchini,kiatu kinetengenezwa hapa hapa,lakini bei inafanana na kiatu kama hicho ambacho kinatoka nje,ambacho kina bei hiyo kwasababu ya kufidia usafiri na kodi,kwa mtindo huu mtawalaumu kweli watanzania kwanini hatupendi vitu vyetu...?
 
Karibuni mjipatie viatu vya ngozi kwa Bei POA kabisa. Viatu vya shule ni kuanzia 25,000-35,000 , Ni kulingana na size. Viatu vya wakubwa vianaanzia 35,000-100,000 Kutokana na aina ya ngozi na soli
Mkuu nashukuru sana kwa hili mko wapi?
 
Mnaweza kuniandalia cha kujitambulishia ukweni? Nimeenda na raba nikaambiwa wakwe wana udhuru tuonane siku nyingine
Tumekuwa tunawatengenezea viatu maharusi. Ukiwa tayari nijurishe, hata kama una sample ya kiatu, nitumie ili tuongee biashara
 
Mnachokosea ni kwenye bei,ngozi ni ya hapa nchini,kiatu kinetengenezwa hapa hapa,lakini bei inafanana na kiatu kama hicho ambacho kinatoka nje,ambacho kina bei hiyo kwasababu ya kufidia usafiri na kodi,kwa mtindo huu mtawalaumu kweli watanzania kwanini hatupendi vitu vyetu...?
Mkuu, biashara yoyote it's a function of several parameters. Pricing ya biashara yoyote Ina formula . Price= material cost+ overhead cost + Profit margin (%). Kwa hiyo Bei hupangwa kulingana na manunuzi, Gharama za uendeshaji pamoja na faida ya kazi. Na biashara nyingi profit margin iko Kati ya 10%-25% . Zaid ya hapo Ni supernormal profit. Kwa hiyo bei zangu bado ziko chini kabisa Kutokana na sababu zifuatazo:-
1. Natengeneza/natafuta wateja wapya
2. Ushindani uliyopo wa ndani na nje

Niko kwenye sekta hii kwa miaka 3 now. Na huwa nafanya ( R &D) / Utafiti kila mara kuhusiana na ubora na Bei za bidhaa za ndani na nje. Kwa hiyo, Sina uhakika saana na kile ulichokisema kwamba bidhaa zetu zina bei sawa na bidhaa za nje.
Kama uko tayari, tukutane wiki ijayo unipeleke duka lolote uliposhuhudia kitu hicho
 
Mnachokosea ni kwenye bei,ngozi ni ya hapa nchini,kiatu kinetengenezwa hapa hapa,lakini bei inafanana na kiatu kama hicho ambacho kinatoka nje,ambacho kina bei hiyo kwasababu ya kufidia usafiri na kodi,kwa mtindo huu mtawalaumu kweli watanzania kwanini hatupendi vitu vyetu...?
Mkuu , hebu nipe bei ya wastani ya viatu vya nje vilivyotengenezwa kwa ngozi(Genuine)

1. Viatu vya shule
2. Viatu vya ofisini
3. Viatu vya viwandani (Safety booty)
4. Casual shoes
5. Sneakers za ngozi
6. American boot


Labda tuanzie hapo ili tupate ufumbuzi utakaotusaidia kusonga mbele
 
Pia niwapatie picha nyingine ambayo tunakutana nayo, lakini yako nje ya uwezo wetu sisi tunaotengeneza viatu.

1. Bei za ngozi.
Ni kweli kabisa, tunatumia ngozi zilizotengenezwa humuhumu Tanzania. Lakini sisi huzinunua kutoka kwenye viwanda vinavyosindika ngozi. Wastani wa ngozi nzima Ina ukubwa kama 25 sqf. Tunanunua kuanzia 75,000-130,000/=,(Plain leather- Upholstery leather), ngozi hiyo inaweza toa viatu pea 6-7 tu. Maana yake pea moja inagharimu Kati ya 12,000-25,000/= kwa ajili ya ngozi tu na Ni Jambo lililo nje wa uwezo wetu.

2. Soli
Tumekuwa tukinunua soli mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya viatu.
Bei za soli Ni Kati ya 3,000- 14,000. Kulingana na unayotaka wewe. Siku zoote soli Bora huuzwa ghali.

3. Vitu vidogovidogo
Kuna vitu vingine huhitajika ili utengeneze viatu. Kama vile, gundi,bango,shanki,vitambaa,velvets
Kwenye pea moja utatumia Kati ya 3,000-5,000

4. Mashine za kutumia
Cherehani na mashine nyingine zoote ambazo hutumika kutengeneza viatu huuzwa sio chini ya 2,000,000. Na zinahitajika kadhaa. Mtaji wa kuanzia usipungue 20,000,000.

5. Gharama za uendeshaji
Pango la nyumba,umeme, leseni ya biashara, Kodi ya mapato, mishahara kwa wafanyakazi, matangazo n.k


Note: nadhani umeanza kupata picha halisi japo kwa mbali
 
Mnaweza kunitengenezea kidatu kizuri cha kike
Tena bila Shaka lolote. Ili mradi kiwe na flat sole au kisigino kifupi. High heels na short heels labda mpaka mwaka kesho. Maana Kuna mchakato flani tunaushughulikia
 
Made in Tanzania
Ni ngozi halisi yenye snakedile print
Na tunatengeneza kwa ngozi aina zoote kwa 70,000/= tu. Piga 0755678173 au 0713678173
IMG_20190922_180828_0.jpeg
IMG_20190922_180928_7.jpeg
 
Made in Tanzania
Tunatengeneza viatu aina zoote. Kwa wale Polisi pamoja majeshi mengine, tunatengeneza viatu vyenu. Staff shoe 45,000 na boot 75,000 Wasiliana nasi kwa 0755678173 au 0713678173
IMG_20190923_125216_6.jpeg
IMG_20190923_125245_6.jpeg
1569232928560.jpeg
1569232955502.jpeg
 
Pata Travolta hiyo kwa 80,000 tu. Dar free delivery. Na mikoani tunatuma. (Gharama za usafiri ni juu ya mteja) wasiliana nasi kwa 0713678173
IMG-20200629-WA0002.jpeg
 
Muna duka?, sehemu ambayo nitaweza kuja kuchagua aina mbali mbali, nahitaji Travolta nyeusi kama hiyo, namba 41.
Kwa Sasa tuna kiwanda tu kiko Toangoma-Temeke. Na tunakukaribisha.tunazidi kuzichanga ili tufungue duka wateja wetu
 
Pata mikanda ya kijanja. Pure ngozi kwa 15,000 tu. Zipo size zote , kwa rangi Black,Coffee colour na Brown
IMG-20200904-WA0013.jpeg
IMG-20200904-WA0015.jpeg
IMG-20200904-WA0011.jpeg
 
Back
Top Bottom