Pata viatu na bidhaa za ngozi

Pata viatu na bidhaa za ngozi

Made in Tanzania.
Casual shoe, made of high quality upholstery leather and genuine rubber sole. 80,000/=
Piga 0755678173 au 0713678173 kwa mahitaji ya viatu aina yoyote.
IMG-20190526-WA0002.jpeg
IMG-20190526-WA0006.jpeg
 
Made in Tanzania
Pata viatu vya kike vya ngozi. Namba zoote katika rangi uipendayo. Kwa 35,000 tu. Piga 0755678173 au 0713678173 kwa mahitaji yako
IMG_20190919_085449_4.jpeg
IMG_20190919_085457_5.jpeg
IMG_20190919_085549_5.jpeg
IMG_20190919_085557_7.jpeg
 
So zinatoka nje naona kuna fursa ya kuanzisha kiwanda cha sole. Ni za ngozi au raba
Majority ya sole zinatoka nje. Japokuwa hapa nchini Kuna kiwanda kimoja kinachozalisha soli, na hakitoshelezi kabisa mahitaji.

Kwa hiyo , Ni kweli eneo la utengenezaji wa soli lina fursa kubwa saana kama ikitokea mtu akawekeza hapo.
 
Ukisoma kwa undani kuhusu soli, utagundua kuwa, Kuna aina nyingi saana za soli, japokuwa watu wengi wanaelewa soli za rubber na Ngozi. Zifuatazo Ni aina za soli zilizopo kwenye sekta ya viatu.

1. PU
2. TPU
3. CPU
4. TPR
5. TPF
6. RUBBER
7. EVA
8. PVC
9. NGOZI
 
Thanks mkuu. Na nikitaka kuanza uzalishaji unafikiri ni aina gani ina soko hapa TZ
 
Ila Mkuu bei zenu, Dah
Mkuu bei zetu Ni rafiki saana. Unaweza uone Bei iko juu kwa sababu unalinganisha bidhaa zetu na vitu vingine ambavyo havifanani.

Kwa mfano, Kuna watu huwa wananunua viatu vya mtumba kwa 5,000-20,000 hivyo wakija kwetu wanalinganisha Bei zetu na za mitumba kitu ambacho Ni ulinganifu usio sahihi

Wengine wananunua viatu vya synthetic leather ( carpet / ngozi bandia) kwa 10,000-25,000 akija kwetu analinganisha Bei zetu na hao wa viatu vya carpet kitu ambacho sio sahihi.

Ukitaka kulinganisha bidhaa zetu. Chukua kiatu chochote Cha ndani au nje, kilichotengenezwa kwa ngozi halisi tena kiwe kipya kabisa, uliza bei yake halafu angalia na Bei zetu
 
Thanks mkuu. Na nikitaka kuanza uzalishaji unafikiri ni aina gani ina soko hapa TZ
Kimsingi aina zoote za soli zinahitajika. Maana kila kundi la viatu , linahitaji soli za aina flani.
Kwa mfano
Sneakers - Rubber
Athletic- Eva
Safety booty- PU & TPU
Staff shoes- PVC,PU,TPF n.k
Casual- TPF, CPU,TPR n.k

Kwa maelezo ya kina zaidi yanayoendana na soko halisi la Tanzania unaweza kunicheki 0755678173 au 0713678173
 
Thanks mkuu. Nimejaribu kusearch pia. Japo machine zake ni expensive yet unaweza kutengeneza almost aina zote kwa mtambo mmoja.
 
Made in Tanzania
Viatu aina hiyo Ni 45,000 vinapatikana kwa rangi zote. Piga 0755678173 au 0713678173. Tupo Toangoma Dar
IMG_20190920_103359_7.jpeg
IMG_20190920_103332_6.jpeg
 
Back
Top Bottom