Kongole kiongozi kwa kufahamu viatu bora kabisa. Kiatu Kama hicho, tunaweza kukutengenezea kwa 50,000 au 70,000.Hko bei ganiView attachment 1561485
Vinaisha mapema hiviUsihangaike kupata viatu vya shule vya kike na kiume Kwa bei nafuu kabisa.
Size 19-37=30,000/=
Size 38-45=35,000/=
Namba zetu 0713678173 View attachment 1661098View attachment 1661104
Vinachakaa mapemaSijaelewa vzr unamaanisha Nini
Au unamaanisha kuwa vinachakaa mapema?
Au tutamaliza mapema stock/mzigo uliopo?
Hebu fafanua vzr swali lako ili tueleweshane
Siyo sahihi mkuu. Nina uzoefu wa miaka mitano katika fani hii. Viatu vyetu vya wanafunzi vinatumika kwa muda kati ya mwaka 1-2. Kumbuka wanafunzi wanatumia viatu kila siku. Na mara nyingi viatu huwa vinawabana kutokana na miguu kukua. Kwa uzoefu wetu kuhusu watoto, miguu yao hupanda size ndani ya miezi 8-12.Vinachakaa mapema
Made in Tanzania
Ni ngozi halisi yenye snakedile print
Na tunatengeneza kwa ngozi aina zoote kwa 70,000/= tu. Piga 0755678173 au 0713678173View attachment 1213644View attachment 1213645
Huwa nawaona wanavalia surualiNimewaza sana anyways hii unavalia bukta au suruali ya aina gani