Pata viatu na bidhaa za ngozi

Pata viatu na bidhaa za ngozi

Shuli

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
264
Reaction score
633
Ndugu mtanzania mwenzangu, tumeanza kuzalisha viatu vya ngozi halisi kwa matumizi mbalimbali. kuanzia viatu vya watoto vya shule na matumizi mbalimbali, vya kiume (Safety boot, army boot, travolta,staff/excecutive shoes , sandals etc), na vya kike. Pia una design viatu kwa ajili ya matukio ya harusi, wapanda farasi n.k. Wasiliana nasi kupitia 0713678173, kwa ajili ya kupata bidhaa zetu bora. Karakana yetu iko Toangoma-Dar es Salaam

Bei
Watoto Jumla ni 20,000 na rejareja ni 25,000
Staff shoes za kiume Jumla 30,000 na rejareja 35,000
travolta shoes za kiume Jumla 50,000 jerareja 60,000
Army boot Jumla 60,000 na rejareja 70,000
Safety boot Jumla 55,000 na rejareja 65,000
Open shoes (Culture) jumla 15,000 na rejareja 20,000
Mikanda jumla ni 10,000 na rejareja ni 15,000

Bei ya jumla ni kuanzia idadi ya 10 na kuendelea
IMG_20170826_200127.jpg
IMG_20170827_094238.jpg
IMG_20170827_094526.jpg
IMG_20170827_094608.jpg
IMG_20170827_094700.jpg
IMG_20170828_015228.jpg
IMG_20170828_015336.jpg
IMG_20170828_080654.jpg
IMG_20170828_080727.jpg
IMG_20170828_080921.jpg
IMG_20170829_083841.jpg
IMG_20170829_083911.jpg
IMG_20170829_084011.jpg
IMG_20170829_184802.jpg
IMG_20170829_184835.jpg
 
Ndoto nzuri saana. Mie nimetafuta professional designer ambaye amesomea Italy ili awafundishe watu pia asimamie uzalishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba picha za army boot mkuu

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Unaweza kunirushia namba yako pm ili nikurushie Kwa WhatsApp, maana Niko mbali niko mbali na laptop inayoniwezesha kurusha picha jf
 
Unaweza kunirushia namba yako pm ili nikurushie Kwa WhatsApp, maana Niko mbali niko mbali na laptop inayoniwezesha kurusha picha jf
Angalia pm yako mkuu nishakutumia namba yangu

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Kwa wale ambao bado Wana uhitaji wa viatu vya shule, wawasiliane nami kwa 0713678173 au 0755678173 ili tufanye biashara. Bei ni 30,000 tu.
IMG-20190103-WA0008.jpeg
IMG_20190101_223000_459.jpeg
IMG-20180828-WA0112.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaendelea kutengeneza viatu aina mbalimbali kwa ajili yako. Kwa Bei nafuu kabisa . Bei ni kuanzia 30,000 na kuendelea. Wasiliana nasi kwa 0755678173 au 0713678173
IMG_20190218_130946_7.jpeg
IMG_20190218_125921_3.jpeg
IMG_20190218_125128_7.jpeg
IMG_20190218_124714_7.jpeg
IMG_20190218_124302_6.jpeg
IMG_20190218_122250_1.jpeg
IMG_20190218_122140_0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni mjipatie viatu vya ngozi kwa Bei POA kabisa. Viatu vya shule ni kuanzia 25,000-35,000 , Ni kulingana na size. Viatu vya wakubwa vianaanzia 35,000-100,000 Kutokana na aina ya ngozi na soli
 
Made in Tanzania products.
Kiatu hicho kimetengezwa na kampuni ya Simons Limited iliyoko Toangoma-Dar es salaam -Tanzania , kimetengenezwa kwa ngozi za hapahapa Tanzania. kinapatikana katika rangi mbalimbali kama vile Black, Brown, dark brown, Maroon n. k . size 30-40. Kwa 50,000/=. Wasiliana nasi kwa 0755678173 au 0713678173. Kwa wale wa Dsm unaletewa ulipo. Na kwa wale wa mikoani, unatumiwa kupitia njia ya usafiri iliyo rafiki kwako (Gharama ya usafiri itakuwa juu ya mnunuzi)
1568618160401.jpeg
1568618219286.jpeg
 
Made in Tanzania.
High quality suede leather shoes. Heavy duty sole. Kinapatikana katika rangi zote, kuanzia size 40-45. Bei ni 80,000/=. Tupigie kwa 0755678173 au 0713678173 kwa mahitaji yako. Wale wa Dar utaletewa na mikoani tunatuma
IMG_20190917_082536_5.jpeg
View attachment 1209496
IMG_20190917_082601_9.jpeg
 
Back
Top Bottom