Nauza sh.20000>> WEKA BEI wewe SIyo Nicheki HAPA sio FB >>
Nauza sh 20000, bei ya rejarejaHakuna bei Au Siyo
Ebu andika inavotakiwaKwakweli elimu ya masoko inahitajika kwa wafanyabiashara wengi wa kitanzania, kwajiyo hapo ndio tangazo limegota!!
Sh.20000taja bei basi
Sh.20000Hebu tuambie bei ili tujua twakutafutaje
Wew tu,Mimi nitanunua vya wamasai wa hapa hapa ili nikuze uchumi WA nchi yangu.. Vya Kenya vya nini
Unachkua vingapiFanya 15000