Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

Yeye anaangalia upande wake tu hajali upande wako. Na ukiona hivyo ujue hakuna uaminifu.
Yeye anataka wewe umuamini ila yeye hataki kukuamini. Wakae na samaki wao mimi sirudii tena makosa nilipata hasara kubwa tu kwa ujinga wangu
Ni changamoto. Nilimlipa fundi anitengenezee madirisha ya mbao sasa mwaka wa pili ananizungusha.
 
Ila wafanya biashara ni wezi sana. Yani samaki umpime uzito akiwa na magamba na mapezi na tumbo (huo ndio uzito mteja atagharamia) halafu ndio umuoshe na kumtumbua?

Kwanini usimtumbue na kumuosha ndio umpime uzito uniuzie? Kwani na hayo mauchafu unanitumia?
Kuwa mwelewa nadhani hata yeye hakatai kuuzia Kwa uzito kamili akiwa samaki ameshaoshwa lakn nadhani Kuna bei tofauti,,,mbona mbuchani nyama isiyo na mifupa yaani steki si Ina bei yake kubwa tofauti na mchanganyiko.
 
Ila wafanya biashara ni wezi sana. Yani samaki umpime uzito akiwa na magamba na mapezi na tumbo (huo ndio uzito mteja atagharamia) halafu ndio umuoshe na kumtumbua?

Kwanini usimtumbue na kumuosha ndio umpime uzito uniuzie? Kwani na hayo mauchafu unanitumia?
Sio lazima kutumbua na kuosha,tunaweza kukutumia bila kuwatumbua ili utumbue mwenyewe.

Kutumbua na kuwasafisha ni gharama pia kwetu,kunawatu hapa tunawalipa kwajili ya kazi hiyo ni option boss wangu sio lazima.
 
Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako .
• SATO.
1. Wabichi.
2. Kukaanga.
3. Kg 13,000.
• SANGARA.
1. Wabichi.
2. Wakavu.
3. wakukaanga.
4. Kg 11,000.
• DAGAA.
1. Wabichi Kg 5,000.
2. Wakavu Kg 8.000.
3. Wakukaanga. 18,000.
• CAHULA CHA KUKU.
Chakula cha kuku.

Tunatuma mikoa yote.

• Mawasiliano.
Namba ya simu whtspp +255769 443 448

Email johjahari@gmail.com

View attachment 3305953

View attachment 3305957
View attachment 3305958
View attachment 3305959
Nipo hapa Morogoro mjini, nauza Sangala 1 kg kwa 12,000
Sato 1 kg kwa 13,000
 
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Kwani hizo hela zake si ni sawa na mzigo kwani tofauti yake ni nini. Ni kwa nini wewe unataka utumiwe hela ya mtu kabla ya kutuma na wewe iyo hela yako ambayo ni mzigo.
Yaani unataka uaminike Ila kuwaamini wenzako hakuna inakuwaje hapo Sasa. Ukitumiwa ukikimbia utasema huwezi kimbia na hizo hela ndogo, haya Sasa wewe tuma Mana na yeye hawezi kimbia.
Kuna mahala wabongo Wana feli sana , subiria na hili wachina waingie mtaanza kulia , yaani mgeni analeta changamoto na kuwaonyesha penye nyufa.
 
Yeye anaangalia upande wake tu hajali upande wako. Na ukiona hivyo ujue hakuna uaminifu.
Yeye anataka wewe umuamini ila yeye hataki kukuamini. Wakae na samaki wao mimi sirudii tena makosa nilipata hasara kubwa tu kwa ujinga wangu
Mbona kama unaongea kwa niamba ya watu wengine?

Hii ni biashara kama ya kwako tunalipa kodi pia tuna ajiri watu.
 
Kwani hizo hela zake si ni sawa na mzigo kwani tofauti yake ni nini. Ni kwa nini wewe unataka utumiwe hela ya mtu kabla ya kutuma na wewe iyo hela yako ambayo ni mzigo.
Yaani unataka uaminike Ila kuwaamini wenzako hakuna inakuwaje hapo Sasa. Ukitumiwa ukikimbia utasema huwezi kimbia na hizo hela ndogo, haya Sasa wewe tuma Mana na yeye hawezi kimbia.
Kuna mahala wabongo Wana feli sana , subiria na hili wachina waingie mtaanza kulia , yaani mgeni analeta changamoto na kuwaonyesha penye nyufa.
Wapi nimekulazimisha uniamini ndugu yangu,huu ni nfumo wangu naoutumia kufanya biashara,ukiona mfumo wako wa kununua unapisha nawakwangu sio kesi.
 
Kama wewe ni Byesige wa Uganda mwaloni kabisa na Ziwa letu pendwa la Victoria ninakuwa na wasiwasi na hicho unachokizungumzia. Lakini kama ni Byesige wa kuchonga (Mrs) na hasa yule toka pwani ya Bahari ya Hindi, basi itakuwa umeongea ukweli. Ladha ya samaki hutegemea pia na uzoefu wa kuwala hao samaki. Mtu toka Ziwani ukimweleza utamu wa ngisi, nguru, pweza n.k atakushangaa sana. Kadhalika yule atokaye ukanda wa Pwani akiambiwa utamu wa nembe, domodomo, ningu na kamongo atakushangaa mpaka umshangae.
Kote nimeishi mkuu...tasi ana ladha yake huwezi mfananisha na wa majibaridi...vile vile ningu naye ana utamu wake..sato ni ✌️👌
 
1000064294.jpg
 
Mbona kama unaongea kwa niamba ya watu wengine?

Hii ni biashara kama ya kwako tunalipa kodi pia tuna ajiri watu.
nawapa tahadhari wataibiwa asb kweupe.. Hata mimi nimeajiri na ninalipa kodi lakini siwaibii wateja

Ndugu zangu chukueni tahadhari
 
nawapa tahadhari wataibiwa asb kweupe.. Hata mimi nimeajiri na ninalipa kodi lakini siwaibii wateja

Ndugu zangu chukueni tahadhari
Ungekua umeagiza hata kilo moja ukaibiwa ndio ungekuja hapa na hizo story.

Nikikuaombia thibisha unaweza au unangea tu kisa una MB kwenye simu yako.

Sio kila mtu anayetangaza biashara mtandaoni ni mwizi,unaoneka upo kimkakati zaidi,tafuta wateja tangaza bishara zako,unapoteza muda mwingi kupotosha watu kwenye thread za watu.
 
Back
Top Bottom