hahahahahaha
hizi nyumba fancy fancy zitakuwa msingi mil 4 ?
unajua bro, unaweza kufukuza biashara kwa kudhani unavutia biashara…. kwa kuonekana muongo
-ufundi
-vyuma vya mikanda
-mawe mekundu ya jamvi( sio ubuyu)
-zege la jamvi ( la kokoto nyeusi)
-nondo za columns ( lazima zichimbiwe kwenye msingi, so ni sehemu ya gharama za msingi)
- mimbao flat ile 1 X 8 ya kufungia mikanda
-kifusi au mchanga wa soil replacement (kuna viwanja vingine LAZIMA unaondoa udongo/mfinyanzi) wote unamwaga mchanga…)
- na makorokoro mengine kibaaaaooo
kamba, misumari, maji, ndoo, makarai, chepe, trucking (ukinunua cement huoewi lori bure kama mchanga au mawe), kukodi vibrator, kibolo, mixer, duuuuuu
eeeeh… mafundi wa kibongo unawanunulia mpaka nyundo…. Maji ya bajeti ya kujengea wao wakimaliza wanafulia, wanakogea,
MILIONI NNE ?????
Johhny please!