Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Mbona Majaliwa ni mmoja kati ya walioimba nyimbo hiyo kuwa wanaimani na Lowasa ila ndiyo Kwanzaa kampa uwaziri mkuu.Wale tu walioimba "tuna imani na Lowasa kule Dom" anasema angekuwa yeye nusu yao angewapoteza. Sasa itakuwa hiyo mitusi!!
Huyu mtu ni kinyonga,
sii bure hakupendezwa na jeshi la ECOWAS lililoinga Gambia kumtoa dikteta uchwara.