Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

mm nilisema huyu jamaa anakuza bei tu hapa Mwanza maisha hayajawa expensive kiivo asiharibu jiji

Watu kama nyie nendeni mkatafute wenyewe,sasa kama unaona anakuza bei achana nae,
We nenda ukatafute mwenyewe.

Watu wa jinsia yako mnaudhi sana kamanda.
 
mdau hata mimi namshangaa jamaa nlimwambia nlimwambia aniambie ni wapi bado alkaa kimya.
 
Kilimahewa kuna nyumba mkuu siyo kiwanja. kiwanja kiko nyasaka
 
kilimahewa kuna nyumba tu bro viwanja vpo nyasaka kiseke n.k.

karibu
 
Kiwanja Kiseke
45x25 mil 9. umeme na maji yamefika.
KARIBUNI.
0767791405/0789998398
 
kiwanja kinauzwa kiko Nyasaka ni 25x35.kimepimwa kina hati bei mil.10.
 
Mwenye kutaka Kuuza Nyumba,
Kiwanja,mashamba au kupangisha nyumba ndani
ya jiji la Mwanza na viunga vyake ani-pm au
anipigie. 0767791405/0789998398.namba ya voda
pia iko whatsapp.
KARIBUNI WOTE
 
SHAMBA
liko Igombe karibu na sekondar ni ekari 2 na nusu (2.5).Bei mil 25.
KARIBUN WOTE
 
NYUMBA
iko Igombe centre ni ya kawaida kwa sasa kuna wapangaji vyumba vi5.kiwanja chake ni 35x40.
umeme umefika ni wa kuweka tu.
maji yapo ya ziwa bomba hakuna.
bei mil.15.
KARIBUNI SANA
 
Ghorofa inauzwa.
iko Sabasaba(kama unaelekea airport)
ni ghorofa 2.
ina vyumba zaidi ya 20.
imepigwa vigae kote kwa ndan.
umeme na maji yapo.ukubwa wa kiwanja ni 50x84(4200sqm)
bei mil.450.
0767791405/0789998398. +255767791405 ipo
pia WHATSAPP amabapo ni njia rahis kukutumia
PICHA.
KARIBUNI WOTE
 
NYUMBA.+KIWANJA.
viko Nyegezi mtaa wa Nyamazobe. nyumba ni ya
kawaida vyumba 3 na sebule.
kiwanja chake ni 30x50.
Maji yalikuwapo yakakatwa,umeme
hajaingiza,nguzo ya umemr imo kwenye kiwanja.
Barabara inafika.
Fensi mbili za pembeni zimeshajengwa(kiwanja
kiko katikati yawaliojenga tayari).
Bei mil.35.
KARIBUNI SANA.
 
Nyumba inauzwa Usagara ina vyumba viwili+jiko
+sebule kubwa.
chumba kimoja ni self. Iko karibu na barabara ya
mtaa umeme umefika.
bei maelewano.
cont. 0767791405/0789998398
 
NYUMBA.
iko NYAMHONGOLO ina vyumba
3(master1+self2),sebule+jiko iko kwenye finishing
ya floor imeshaezekwa maji yamo umeme pia
umefika(ingiwa haujaingizwa kwenye nyumba).
mtindo wa nyumba ni wa kisasa.
kiwwnja ni25×40.
bei mil45tu.
KARIBUNI WOTE
 
KIWANJA
kipo Malimbe karibu na chuo cha SAUT.kipo karibu
na mnara wa Masha. kimezungukwa na hostel za
SAUT.
ukubwa hekari 2.
umeme na maji yapo.bei mil70 maelewano yapo.
KARIBUNI SANA
 
KIWANJA
kipo Malimbe karibu na chuo cha SAUT.kipo karibu
na mnara wa Masha. kimezungukwa na hostel za
SAUT.
ukubwa hekari 2.
umeme na maji yapo.bei mil70 maelewano yapo.
KARIBUNI SANA

vip ile chumba na sebule self ishapatikana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom