Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Nadhani huyu jamaa mwenye hii post ni tapeli. Kwa sababuy gani? ninaye rafiki yangu anaishi kule mwanza alikuwa akitafta nyumba akampigia huyu jamaa hapa. huyu jamaa akamwambia kuwa watapatana sehemu flani ili aweze kwenda kumwonyesha nyumba hizo. alivyonielezea rafiki yangu ni kwamba huyu jamaa alimdanganya akishinda kubadilisha mida ambayo wangepatana hadi wa leo yule jamaa akimpigia simu hachukui. Ni kama ni tapeli ambaye alitaka tu kumwibia yule rafiki yangu hela bila kumwonyesha nyumba yoyote. Ngaruka, hebu tueleze kama nni ukweli ama rafiki yangu kanidanganya!