sexologist aah kumbe na hyo imo.hii dunia balaa kweli unachokiona kidogo mwenzako anakiona dili.
Nmemtafutia mteja mmoja kiwanja kajifanya hajakipenda kumbe amenizunguka toka ninakoishi(nyakato) mpaka kwenye kilipo kiwanja nlkuwa natumia si chin ya 1500 kanifosi kuwa anataka nmeenda zaidi ya wki kutafuta kupata alafu KANIZUNGUKA imeniuma hela yangu niliyokuwa napoteza.
Cha kushangaza ana gari kwa nini aliamua kunitumia mimi kumtafutia kiwanja?si angeweka mafuta akazurura jiji zima since unayo hela na unajua sehemu ya kununua kwa nini umsumbue dalali?
ndo maana watu hupata majanga kwenye mijumba yao kumbe kilimdhulumu dalali.
dah