House4Sale Nyumba Inauzwa Nzega-Tabora

kabunguru

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
289
253
Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m
Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja una Ujazo wa Meta za Mraba 1027,umepimwa.
Nyumba IPO Meta 150 toka Rami,Mita 600 toka Stendi kuu ya Mabasi Maji wa Nzega.Mawasiliano 0752-010710/0786-258617
 
Attachments

  • Screenshot_2024-05-03-09-43-21-704_com.whatsapp.jpg
    Screenshot_2024-05-03-09-43-21-704_com.whatsapp.jpg
    606.5 KB · Views: 4
Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m
Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja una Ujazo wa Meta za Mraba 1027,umepimwa.
Nyumba IPO Meta 150 toka Rami,Mita 600 toka Stendi kuu ya Mabasi Maji wa Nzega.Mawasiliano 0752-010710/0786-258617
Umesahau kitu cha muhimu sana..ukubwa wa kiwanja na kama kiwanja hicho kina hati..Maana yake nini? Hapo kinachouzwa ni kiwanja na sio nyumba.
 
Nyumba IPO Mtaa wa Uswilu.Magharibi mwa Stand Kuu ya Mabasi,Jirani na Florida Pub.Inatazamana na Rami ya Kutoka Stand kwenda Uchama.
Bei ni Milioni 35 (Maongezi kidogo).
Inauzwa Nyumba,imejengwa kwenye uwanja uliopimwa,Plot #136,Block D.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom