Pata mkopo rahisi zaidi na Tala Tanzania

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,417
21,113
Kwa mkopo mrahisi wenye riba nafuu zaidi usio na ubabaishaji wa aina yoyote ndani ya dakika tano ,Tala ndo jibu lako

Cha kufanya ingia playstore kisha pakua app ya Tala Tanzania

Baada ya hapo jibu maswali machache ili unufaike na mkopo

Screenshot_2017-07-30-20-24-07_1.jpg
 
Maximum mnakopesha Tsh ngapi? Anayeanza anaweza chukua Tsh ngapi? Vigezo vyenu? Mmesajiliwa?
 
Hehehe aiseeh huu nao mkopo...utani mwingine buana

brain is the beautiful part of the body.
Hawa jamaa sijui wakoje wajaribu na nyie muone? Siku moja nilijaribu nikakopeshwa 20,000 kwa riba ya 20% yaani nilipe 24,000. Wakanidanganya kuwa kama ni mlipaji mzuri utapanda mpaka 1,000,000. Baada ya siku mbili nikarejesha 24,000 na kesho yake nikawa na sifa ya kukopa 30,000 kwa kurejesha 36,000. Nikakopa hiyo 30,000 na baada ya siku mbili nikarejesha 36,000 nikitegemea sasa mimi ni mkopaji mzuri kwasababu ndani ya wiki wamepata faida ya 10,000. Cha ajabu baada ya kurejesha hiyo 36,000 nikitegemea sasa nitaweza kukopa zaidi, nilipotaka kukopa mpaka kesho naambiwa "Ombi lako halijafanikiwa. Mfumo wetu umetazama ombi lako na data zako. Kwa sasa hujafikia vigezo vya kupata mkopo"
Kwa hiyo hawa mabwana wana lao jambo wanalotafuta ili mwisho wa siku wakuingize mjini na wala hawana uwezo wa kukopesha hela ya maana.
 
Basi ni uhuni huu.
 
Teh kumbe ndio ipo hivi
 
Back
Top Bottom