Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,606
Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.
Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo pesa?
Utashangaa unapokea simu mama ako kalazwa, mjomba kapata ajali, umeibiwa site mirror ya gari, betri ya gari imekufa.. (Na jiulize kwanini mambo kawa haya hutokea pindi tu unapopata pesa) .. hii black magic inayoletwa na pesa.
Pesa ina some kind of Magic yenyewe kama yenyewe. Huwa inapenda kuzunguka na sio ku settle sehemu moja..
Maana yake ni kwamba 'pesa siku zote ipo kwenye mzunguko' Usipoizungusha kwenye mambo yenye manufaa na ukabaki nayo cash mfukoni, yenyewe itajizungusha kwenye mambo ya dharura yasiyo kwenye mipango.
Siku zote kama huna matumizi na pesa, pindi unapoipata jaribu kuiwekeza kwenye near cash au amana ambazo zinakaribiana na cash kama vile bonds, bills, ama stocks, au hata gold na silver.
Ukishawekeza pesa cash kwenye hivo vitu, maana yake mfukoni utakuwa huna pesa na hapo hapo unaondokana na ile jinamizi ya kupata matatizo kwasababu unazopesa.
Hii ni personal finance.. 101..
Good morning people...