Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
Mi ntaendelea kuwa kwenye kundi la member wakawaida ambao tunatoa michango ya mawazo na sio fedha kwani kila siku nanunua kifurushi cha 250 toka voda na chote kinaishia JF ila siyo mbaya na sisi mkatutumia hizo sms tuepuke kuwekwa katika madaraja kwani matangazo yanayowekwa humu yanatosha kuiendesha jf na pia mnapata matangazo kwa kuwa kuna watu wengi wanatembelea mtandao huu ili kuufanya uzidi kuku nchini tz na duniani kwa ujumla ili uje kuwa km facebook au tweeter, msiwagawe member wenu in term of vipato. Samahani kama nimewakwaza

Hata Maaskofu, Mapadri, Mashehe wana madaraja na privilege zao. Nasikia hata peponi ndio hivyo. Kama kwa sasa huwezi kulipia baki hivyo hivyo usijali, na umeona kusudio au lengo ni kuweza kuifanya JF iweza kulipa gharama za uendeshaji na kuweza kutuhudumia. Imagine kama jamaa wakishindwa kulipa maintanance fees na ikafungwa utashinda wapi na Shs. 250 zako?

Any way nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuwezeshe ili na ww uweze kuchangia hii Shs. 30,000/= na mimi najiombea hivyo hivyo maana sijatoa lakini umuhimu nauona na nia ninayo....
 
Mimi sijui itakuwaje hapa Kigali kwanza na huu mtandao wa jamii Forums karibia unafungwa huyu Kagame katuchukia kupita maelezo utadhani hatujawahi msaidia.... Sasa nikilipa baada ya mwezi mmoja nisipate huduma inayotakiwa refund itakuwa katika utaratibu upi?
 
kuanzia leo nasave buku kila siku.
Hadi mwisho wa mwezi huu lazima nipate beji ya dhahabu.
 
mmhh!!hataree,co kuwa wote wanakpato cha kulpia,coz i think this una limit watmiaji...!naamin una watu weng sana wanaptia so weka iwe as social network,free bt matangazo na makampun yawe ndo source of income...!!endesha kama radio na tv
 
Mimi nimejisajili kwenye simu yangu am receiving all those breaking news nakatwa some amount, so don't I qualify to be a Tanzanite???
 
Umenena vyema sana, na umetumia hekima kubwa sana kuwasilisha haja yako ya moyoni, unastahili kupongezwa na wenye hekima kama wewe wanapaswa kufikiria mara mbilimbili juu ya hiki ulichokise, ila hawatakosekana wenye kupuuza na kukujibu kwa fedhea
naona mmekutana wabahili ,unafikiri server maintainance ni sh 20 ,safisha ubongo vumbi maisha imebadilika sana wewe anzisha ya kwako kama hii uone kama uta irun bure
 
naona mmekutana wabahili ,unafikiri server maintainance ni sh 20 ,safisha ubongo vumbi maisha imebadilika sana wewe anzisha ya kwako kama hii uone kama uta irun bure

Teh teh teh! ingekuwa kuchangia harusi, fasta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom