Pata JF Gold Member kwa Tshs 30,000 tu

Status
Not open for further replies.
MKUU!

Kwa njia ya M-PESA (IN RED)
SWALI:
1) NINAYOINGIZA NI PASSWORD YANGU YA JAMII FORUM?
2) KAMA NI HIVYO, JE MNAHAKIKA GANI KWAMBA PASSWORD ZA WATU HAZILINGANI?
3) JE, PASSWORD YANGU HAIWEZI'LEAKE'?

MKUU!

Kwa njia ya M-PESA (IN RED)
SWALI:
1) NINAYOINGIZA NI PASSWORD YANGU YA JAMII FORUM?
2) KAMA NI HIVYO, JE MNAHAKIKA GANI KWAMBA PASSWORD ZA WATU HAZILINGANI?
3) JE, PASSWORD YANGU HAIWEZI'LEAKE'?

Mkuu,

Unaingiza password yako ya M-Pesa. Hakuna kinachoingiliana na password yako ya JF
 
Well noted Mkuu.

Lakini nashauri kwa wale ambao siyo premium members unaonaje wakawa na limit ya kupost thread kwa siku? Kuchangia mtu yeyote asiwe limited kuchangia, lakini kupost hii kitu ifikirieni kama inafaa

Jf itapoteza wadau na michango mingi ya maana kisa wamekuwa limited eti sio Premium, mtu akizuiwa kupost tayari ataanza kupoteza interest, hawa ambao si premium wanaleta faida kwenye matangazo ya pay per view ads, au hujui mkuu
 
Mkuu Mike Mckee,

Hii kitu ni nzuri na hasa inapotumika kuchangia maendeleo ya JF. Lakini nina wasiwasi kidogo na confidentiality ya members hapa ambao hawataki majina wala idenity zao halisi zijulikane. Kwa kuwa sms za matukio/breaking News zitakuwa zinatumwa kupitia simu zetu za mkononi, na kwa kuwa nchi karibu zote duniani ikiwemo Tanzania kwa sasa lazima ufanye registration ya sim card, hamuoni kwamba hiyo itakuwa njia rahisi watu kufuatiliwa kupitia mobile phone service provider? Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hii aina maana kwamba napinga mpango mzima hata kidogo. Niliwahi kuchangia, na nitachangia hiyo Tshs. 100,000 lakini sitapenda kupata any SMS mpaka nipate uhakika kwamba hatujiuzi kwa urahisi kupitia mtindo huu.

Tiba
 
DOESN'T THIS PROCESS 'UNMASK THE 'EGWUGWU''? I hope you know what I mean!

Unajua, unaweka kwenda kibanda cha M-Pesa ukamuambia yule msimamizi akutumie hela kwenye number hiyo, Ukampa 1,000 kama gharama yake akakutumia, ukanipa receipt number nikakuwekea premium member na wala nisijue wewe ni mtu gani.

Mkuu Mike Mckee,

Hii kitu ni nzuri na hasa inapotumika kuchangia maendeleo ya JF. Lakini nina wasiwasi kidogo na confidentiality ya members hapa ambao hawataki majina wala idenity zao halisi zijulikane. Kwa kuwa sms za matukio/breaking News zitakuwa zinatumwa kupitia simu zetu za mkononi, na kwa kuwa nchi karibu zote duniani ikiwemo Tanzania kwa sasa lazima ufanye registration ya sim card, hamuoni kwamba hiyo itakuwa njia rahisi watu kufuatiliwa kupitia mobile phone service provider? Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hii aina maana kwamba napinga mpango mzima hata kidogo. Niliwahi kuchangia, na nitachangia hiyo Tshs. 100,000 lakini sitapenda kupata any SMS mpaka nipate uhakika kwamba hatujiuzi kwa urahisi kupitia mtindo huu.

Tiba

Mkuu,

Unaweza kwenda CRDB ukadiposit pesa kwenye hiyo account, jina la anaye deposit ukaweka jina lako la hapa mimi ukaniambia umeweka hiyo amount, nikacheki online nikakuwekea hiyo premium member na wala nisijue jina lako. Alafu kuhusu kupokea SMS hapo nashindwa kujua link ya wao kukujua wewe ipo wapi wakati sisi tunatumia service providers wa nje kwaajili ya hii huduma ya kutuma sms. Lakini pia unaweza ukakataa tusiwe tunakutumia ujumbe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom