pata iphone 5 kwa 199$ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pata iphone 5 kwa 199$

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by 3squere, Oct 8, 2012.

 1. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  leo nilikuwa natembelea http://store.apple.com/us/browse/home/shop_iphone/family/iphone/iphone4s# na bei nilizo ziona nikacho dolla 199 na iphone s4 n 99$ alafu ni free shipping je ni kwel kama sijaelewa msahada wanajf
   
 2. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni kwa Marekani, na ikija bongo lazima u unlock.
   
 3. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama kunlock mbona raisi sana
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,770
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  huo ni mkataba wa kwa mitandao ya marekani yaani utalipa dola 199 kwa miaka miwili. Na free shiping ni kama upo coverage kwenye hio mitandao yao mfano rogers canada, at&t ya marekani, verizon marekani na t mobile ulaya.

  Iphone 5 16gb ambayo ni unlocked ni dola 800 so hamna shortcut mkuu
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  $199 kwa simu iliyo na contract ya service ya miaka miwili, kila mwezi unalipa kiasi fulani kutokana na features unazotaka. Mitandao iliyo supported.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo ukiwa bongo hakuna namna ya kufanya iliuweze kutumia..
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kwanza itabidi uinunue kwa contract, sijui utayakwepa vipi hayo malipo ya kila mwezi, mwishoni inategemea ni iPhone ipi maana kuna ambazo hazitumii GSM na kuna ambazo ziko locked/unlocked so yote inategemea.
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,770
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Kabla ya kujua namna ya kuitumia jiulize kitu kimoja utaipataje maana vitu vya mkataba kama hivyo wanauziwa watu wenye ajira za kudumu, kumiliki asset zisizo hamishika kiasi kwamba huwezi kimbia ukiipata. Na kulipia 199 kwa miaka miwili kwa lugha nyengine utalipia dola 4776 kwa ujumla so ni bora ununue ilio unlocked. Maana wanaonunua hivo wanapewa internet na muda wa maongezi bure.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  sio 199 kwa miaka miwili, ni one time 199 kisha kama $40 kwa mwezi kwa ajili ya unlimited voice, zaidi kwa data na vitu vingine.
   
 10. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  bado nawasikilza
   
 11. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo iyo bai syo
   
 12. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hiyo $199 kwa iPhone 5 na $99 kwa 4S zinalipwa at the spot, mwanzo wa mkataba.
  Kuna makampuni ya simu kama AT&T, Verizon, Sprint, Cricket na C-Spire yanayouza hizo simu kwa mikataba, prepaid na postpaid na wanakupatia na bonus tofauti kama Airtime, Texts na Data Bundles.

  - AT&T wanauza iPhone 5 kwa $199 lakini utalipia $79 kila mwezi kwa miaka miwili na mwisho wa mkataba utakuwa umelipa $2095 including taxes na fees!

  - Verizon wanauza iPhone 5 kwa $199 na kila mwezi utalipa $80 kwa miaka miwili na mwisho wa mkataba utakuwa umelipa $2119 including taxes na fees!

  - Sprint wanauza iPhone 5 kwa $199 na kila mwezi utalipa $79.99 kwa miaka miwili na utalipa jumla ya $2118.76 including taxes and fees!

  - Cricket wanauza iPhone 5 kwa $649 ambayo ni nyingi kidogo lakini ni kwa wale wasiotaka kuingia katika mkataba. Hiyo ni prepaid service na kwa kila mwezi utatakiwa kulipa $55 ili upate unlimited voice calls, unlimited texts na unlimited data (first 2.5GB at maximum speed na wataipunguza kidogo baada ya hapo). Ndani ya miaka miwili itakucost $ 1969 including taxes and fees!

  - C-Spire wanauza iPhone 5 kwa $199. Wao wanatoa Postpaid service ambayo utapata unlimited texts, 500minutes ya voice calls na unlimited data na utalipia $60 kila mwezi. Baada ya miaka miwili utakuwa umelipa $1,639 including taxes and fees!

  Hii ni summary ya gharama kwa miaka miwili kwa kila kampuni:

  C-Spire – $1,639
  Cricket – $1,969
  Sprint - $2,118.76
  Verizon - $2,119
  AT&T – $2,095
   
 13. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sasa kama ukanunua alafu ukaunlock ukaitumia kama sm za bongo
   
 14. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,770
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Sasa mkuu bei hio si bora utoe $800 uchukue mpya
   
 15. k

  kasii Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  mm nina iphone 4 iko locked but natumia kwa WiFi tuu basi utapata kila kitu whatsaapp viber skype na mengineyo but bila WiiFi huwezi tumia iyo simu maana iko locked so naomba mnisaidie namna ya kunlock
   
 16. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama upo bongo nipm tuwasilane
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wauzaji wa used wameshindwa kuleta kweli mzigo wa simu used?
   
 18. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  mkienda huko pm mnakuwa mmetutenga! Funguka hapa hapa tufaidi wote!
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,770
  Likes Received: 7,085
  Trophy Points: 280
  Sasa simu toka itoke hata mwezi bado hizo used wazipataje
   
 20. U

  Uprising Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Mi nisaidieni ku-unlock 4s ya Verison inanipasua kichwa, nilipeleka kwa Sele pale Samora akaniambia tshs 300K lakn wiki 2 kakaa nayo anadownload sijui nini , hatimaye akaniambia haimaliz ku download akaitoa imeshindikana!!

  Hebu nisaidieni
   
Loading...