Pata DSTV Full Package kwa 200,000/= Kwa mwaka

Pata DSTV Full Package kwa 200,000/= Kwa mwaka

mbona huweki namba!!! hatutaki utani sie sio bibi zako!
 
abudhabi hawana football kwa sasa mpaka miaka mitatu ijayo labda wanaweza kupata tena kwa sasa ni aljazeera sport kwa middle east ndo wanaoonyesha football, huduma pekee yenye kukuonye d*tv kwa ghalama nafuu na uhakika ni xmaster inakupa mwaka mzima buure kwa 270,000 tu huku ukiangalia channel zote buure full hd.

xmaster ndio inakuaje mkuu msaada plz
 
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

nipo dodoma nahitaji mkuu nafanyaje kuipata??!
 
Back
Top Bottom