Pata DSTV Full Package kwa 200,000/= Kwa mwaka

Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

Wewe ndio MULTI CHOICE? au ARUSHA ARTS?
 
abudhabi hawana football kwa sasa mpaka miaka mitatu ijayo labda wanaweza kupata tena kwa sasa ni aljazeera sport kwa middle east ndo wanaoonyesha football, huduma pekee yenye kukuonye d*tv kwa ghalama nafuu na uhakika ni xmaster inakupa mwaka mzima buure kwa 270,000 tu huku ukiangalia channel zote buure full hd.

Mi yangu inatumia Card mbili ya Alazeera na hiyo ya Abu Dhabi nililetewa inapiga mzigo kama kawaida mkuu,,hao Xmaster nao ndio wa wap mkuu?
 
ni receiver zenye cccam account inayoweza kukupa channel za aljazeera aport na d*tv buure bila malipo ya mwezi.
 
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

Kwa kutumia DECODA GANI?!! za DSTV au azksky
 
pumbafu zake watu tushanawishwa kabisa a'fu msosi hauletwi mpaka maji yanakaukia mikononi!!!
Kiranja piga BAN blessings KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.
Hacha kuzingua watu humu wewe underground ebu nenda jukwaa la kina mama kule Manina zako KRAPKA DAVINOOOOO!!!!!
 
ni receiver zenye cccam account inayoweza kukupa channel za aljazeera aport na d*tv buure bila malipo ya mwezi.

mimi nipo songea na nahitaji hii huduma, msaada please.
 
Wadau ukihitaji huduma ya kupata Channel Zote zinazoonyeshwa na DSTV kwa gharama ya Tsh. 200,000/= tuwasiliane. Furahia Ulimwengu wa DSTV kwa bei nafuu ambapo hutapata popote pale. Huduma hii inapatikana Arusha, Dar es Salaam, Mwanza & Mbeya.

Provide proof of authorisation by Dstv; contact person; mobile no. for verification!! lest not ready for a 419 style scam!! Pole
 
Ad9629763St1Sz5206Sq105018125V0Id1.jpg
 
Back
Top Bottom