Pata Chia Seeds kwa bei nzuri

katahoka

Member
Sep 28, 2019
35
10
Wadau,

Pata Chia Seeds kwa bei chee, nauza kg moja kwa shilingi 5000. Napatikana Karagwe-Kagera, mikoani natuma kuanzia kilo 20.

Kwa wale wanaohitaji mzigo mkubwa upo wa kutosha. Chia seeds ni mbegu zilizothibitika kuwa na virutubisho vingi ambavyo ni muhimu kwa afya na ni zao linalokua kwa kasi katika biashara.

Nawakaribisheni nyote wafanyabiashara na watumiaji.

Namba yangu ni 0755748007.

KARIBUNI SANA


70514783_705666593232244_4209884135600160768_n.jpg
 
Pata chia seeds kwa bei nafuu,Tunaendelea kusupply kwa wateja.Kilo moja ni shilingi 5000.Tunasafirisha kuanzia kilo 20.Chia seeds ni mbegu ambazo zinatibu magonjwa mengi kiafya na ni zao linalokua kwa kasi kibiashara,karibuni sana watumiaji na wafanyabiashara, mzigo upo wa kutosha,namba yangu ni 0755748007

IMG-20191006-WA0001.jpeg
70514783_705666593232244_4209884135600160768_n.jpeg
 
Ni vyema ilieleza faida za bidhaa yako
Chia seeds ni mbegu ambazo zina virutubisho vingi na muhimu kwenye afya na dhidi ya magonjwa,faida zake ni kuipa mifupa nguvu,kuimarisha kinga ya mwili,kutibu presha na magonjwa ya moyo,husaidia kupunguza uzito(unene),hutibu kisukari,huipa ngozi afya,huimarisha afya ya ubongo,kwa wale wenye HIV huimarisha Kinga mara dufu,yaani hizi mbegu zina faida nyingi sana na zina matokeo mazuri sana ndani ya muda mfupi
 
Pata Chia seeds kwa bei nafuu.

Ndugu wateja tunaendelea kufanya delivery ya Chia seeds/Chia kwa bei nafuu kabisa ya shillingi 5000 kwa
kilo. Chia zetu ni safi, hazina mchanga na zimepepetwa vizuri kabisa.

Dar es salaam tuna kituo tayari na wote wanaohitaji mzigo mkubwa upo wa kutosha. Chia seeds zina faida nyingi sana katika afya yetu kwa ujumla kama, huongeza kinga ya mwili, hudumisha afya ya ngozi, mifupa na meno, hutibu magonjwa ya moyo na sukari, huongeza nguvu za kiume, pia hupunguza uzito na kuupa mwili muonekano mzuri kabisa.

Karibuni sana wateja,namba yangu ni 0755748007

IMG_20191020_135308_6.jpeg
 
pata chia seeds kwa bei nafuu.Ndg wateja tunaendelea kufanya delivery ya chia seeds/chia kwa bei nafuu kabisa ya shillingi 5000 kwa
kilo,chia zetu ni safi,hazina mchanga na zimepepetwa vizuri kabisa.Daresalaam tuna kituo
tayari na wote wanaohitaji mzigo mkubwa upo wa kutosha.Chia seeds zina faida nyingi sana katika afya yetu kwa ujumla kama,huongeza kinga ya mwili,hudumisha afya ya ngozi,mifupa na meno,hutibu magonjwa ya moyo na sukari,huongeza nguvu za kiume,pia hupunguza uzito na kuupa mwili mwonekano mzuri kabisa.Karibuni sana wateja,namba yangu
ni0755748007View attachment 1256481
Morogoro mnafikaje
 
Hizi mbegu zina sifa ya kuwa na fibre na protini ya hali ya juu,hizi ni ingredients muhimu sana katika nguvu za kiume hivyo kwa watumiaji wa muda mrefu ni suluhisho kwa nguvu za kiume labda kama una ugonjwa
Kwahiyo hizo mbegu unatuuzia tukazioteshe miilini mwetu halafu nguvu za kiume zimeingiaje humo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom