- Thread starter
- #61
Ni wazo zuri kaka but kwa dar hizi chia seeds watu wengi hawajazifahamu hivyo inakuwa ngumu kwa biashara,stoo zetu zipo mkoani,mtu yeyote akihitaji mzigo mkubwa tuna udhamini wa mwanasheria(tuna contact).Anaenda ofisini analipa then tunamtumia mzigo,Au anaweza kuja akafata mzigo wake huku kwenye stoo zetu,but nikizidi kupata wateja stoo nitaziamishia dar
Kama mna kituo Dar kwa nini msiweke hapo kituoni mizigo ya kutosha ili iwe rahisi kwa wateja kuweka uaminifu zaidi mkuu...?
jf hujui chia seeds 