Pata Chia Seeds kwa bei nzuri

Pata Chia Seeds kwa bei nzuri

Zifuatazo ni faida za chia katika afya yetu,chia hutibu maradhi ya moyo,hutibu sukari,hudumisha afya ya ngozi,huupa mwili nguvu,hupunguza unene na uzito,huimarisha afya ya mifupa na meno,kwa watoto husaidia ukuaji na huimarisha ubongo,kwa wale wenye HIV hudumisha kinga ya mwili,huimarisha misuri,husaidia kuondokana na tatizo la nguvu za kiume,kwa watumiaji wa mara kwa mara si rahisi kuugua homa,n.k.Chia zinaweza kutumiwa kwa kuchukua vijiko viwili na kuvitafuna kila siku au kuchanganya na maji ya moto au uvuguvugu na kunywa,au kimiminika kama juisi,uji au chai,pia kunyunyizia juu ya chakula.Karibuni tuzijenge afya zetu
 
Mzigo upo wa kutosha jamani,karibuni wafanyabiashara na watumiaji hii ni bei ya promosheni.Chia zetu ni safi zimepepetwa vizuri na hazina mchanga
IMG_20191020_140026_7.jpeg
 
Mbegu za chia zimeshehena virutubisho vingi vya
kuboresha na kuimarisha mwili kama vile
antioxidants, mafuta ya omega-3, madini
mbalimbali,
Chia inakupa faida zifuatazo:

1. Kulainisha ngozi na kupunguza dalili za uzee
(k.m. kuongeza uwezo wa kubana mkojo kwa
wazee),
2. Kupunguza uzito (zitumie pamoja nakupunguza kiwango cha chakula),
3. Kupunguza uchovu (zinafaa kwa
wanamichezo na wazee),
4. Kusaidia mwili kupambana na kansa (anticancer) na maradhi mengine,
5. Kulainisha mfumo wa chakula na hivyo mtumiaji kuwa na choo kizuri kilichoshikana.
6. Kupunguza shinikizo la damu,
7. Kupunguza au kuponyesha matatizo yaKisukari,
8. Kuimarisha misuri
9.Kwa sababu ya kuwa na madini ya Calcium kwa wingi, chia inaimarisha mifupa na meno.
Pia inafaa kwa wajawazito na mama
wanaonyonyesha,
10. Asilimia 20% ya Chia seeds ni mafuta aina ya
OMEGA -3, Kwa hiyo chia inaboresha uwezo
wa kumbukumbu (memory), na inafaa kwa
watoto na wazee. Chia ni mbadala wa
mafuta ya samaki (Cod Liver Oil) ambayo
hupatikana kwenye maduka ya madawa.
Uzuri wa chia ni kwamba unapata OMEGA-3
bila shombo.
11. Chia inasaidia kupunguza sumu mwilini, n.k.
Kutokana na virutubisho vingi na madini
12.chia huongeza kinga ya mwili,kwa waathirika wa HIV huupa mwili kinga ya hali ya juu
13.kutokana na asilimia kubwa ya protini na fibre,chia huongeza uzalishaji wa manii kwa wanaume pia huimarisha misuli ya uume hivyo kuongeza na kuponya matatizo ya nguvu za kiume,n.k
(minerals)
14.inafaa kwa wajawazito na
wanaonyonyesha.

MATUMIZI:
Weka kijiko 1 hadi 2 vya chakula kwenye chai, uji,
juice, mtindi, n.k. koroga koroga kwa kabla ya kuywa. Tumia mara 1 au 2 kila siku,waweza chukua vijiko viwili na kuvitafuna Kwa kupunguza uzito, kunywa
maji au chai na kitafunwa kidogo usikiapo njaa
sana.
Kwa sasa tunazo hizi chia kwa bei pungufu kabisa ya shilingi 5000 kwa kilo,kwa daresalaam tupo makumbusho bahari motors,wasiliana nami whatsapp kwa namba hii 0755748007
Screenshot_2019-10-26-14-19-40.jpeg
 
Hizo chia unatafuna kama karanga? Au unapika kama maharage?
 
Wadau,pata chia seeds kwa bei chee,nauza kg moja kwa shilingi 5000,napatikana Karagwe-Kagera,mikoani natuma kuanzia kilo 20,kwa wale wanaohitaji mzigo mkubwa upo wa kutosha,Chia seeds ni mbegu zilizothibitika kuwa na virutubisho vingi ambavyo ni muhimu kwa afya na ni zao linalokua kwa kasi katika biashar,nawakaribisheni nyote wafanyabiashara na watumiaji,namba yangu ni 0755748007.KARIBUNI SANAView attachment 1218439
Broo promo yako umezunguka sana we sema hivi
Zinaongeza kuvu za kiume na kwa wadada zinasaidia kuongeza ukubwa wa makalio

Sasa subiri uone watu wakavyo zigombania hizo mbegu
 
Nahitaji kilo 6 nipo dsm ikitokea umepata oda kubwa niunganishie hapo
 
Broo promo yako umezunguka sana we sema hivi
Zinaongeza kuvu za kiume na kwa wadada zinasaidia kuongeza ukubwa wa makalio

Sasa subiri uone watu wakavyo zigombania hizo mbegu
Haha,lakini katika swala la afya hizi chia nazipa 5 stars,nawe karibu nikuuzie utunze afya yako mkuu
 
Ndugu wadau tunaendelea kupata order na kusupply chia kwa bei ndogo kabisa,karibuni sana tuimarishe afya zetu
 
Yaani tuna kituo dar kama unahitaji unaweka order,unalipa nusu tunautuma mzigo ndani ya siku moja ukifika unamalizia malipo,kuna watu tumewatumia mzigo wameingia mitini
Mnatuma mzigo kwa mteja ndio akishaupata ndio analipia au mteja analipa kwanza halafu ndio anasubiria mzigo wake...?
 
Kwa wale wa rejareja kama kilo 2,5,10,zipo tyr kwa dar,unalipa unapewa huduma hapohapo
Yaani tuna kituo dar kama unahitaji unaweka order,unalipa nusu tunautuma mzigo ndani ya siku moja ukifika unamalizia malipo,kuna watu tumewatumia mzigo wameingia mitini
 
Yaani tuna kituo dar kama unahitaji unaweka order,unalipa nusu tunautuma mzigo ndani ya siku moja ukifika unamalizia malipo,kuna watu tumewatumia mzigo wameingia mitini

Kama mna kituo Dar kwa nini msiweke hapo kituoni mizigo ya kutosha ili iwe rahisi kwa wateja kuweka uaminifu zaidi mkuu...?
 
Back
Top Bottom