Pata chia seeds kuanzia Tsh 4000 kwa kilo

Pata chia seeds kuanzia Tsh 4000 kwa kilo

Faustine p

Member
Joined
Nov 14, 2017
Posts
10
Reaction score
1
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO....
Nauza mbegu za chia Chia seeds kwa bei rahisi Kama ifuatavyo:
Kuanzia kilo 31 - 1000, Tsh 4000@kilo
Kuanzia 21-30 , Tsh 4500@kilo
Kuanzia 11-20,5000@ kilo
Kuanzia 8-10, 6000@kilo
Kuanzia 4- 7 , 7000@ kilo
Kuanzia kilo 1 hadi 3, 10000@kilo
CHIA ZETU NI SAFI KWA KIWANGO CHA KUFAA KULIWA MOJA KWA MOJA
gharama za usafiri ni juu ya mteja.
Nipo Karagwe Kagera Tz
Mawasiliano: 0765454416 au 0622229655
Karibuni sana🙏🙏🙏
 
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO....
Nauza mbegu za chia Chia seeds kwa bei rahisi Kama ifuatavyo:
Kuanzia kilo 31 - 1000, Tsh 4000@kilo
Kuanzia 21-30 , Tsh 4500@kilo
Kuanzia 11-20,5000@ kilo
Kuanzia 8-10, 6000@kilo
Kuanzia 4- 7 , 7000@ kilo
Kuanzia kilo 1 hadi 3, 10000@kilo
CHIA ZETU NI SAFI KWA KIWANGO CHA KUFAA KULIWA MOJA KWA MOJA
gharama za usafiri ni juu ya mteja.
Nipo Karagwe Kagera Tz
Mawasiliano: 0765454416 au 0622229655
Karibuni sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi zinasaidia kufanya nini mwilini?
 
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO....
Nauza mbegu za chia Chia seeds kwa bei rahisi Kama ifuatavyo:
Kuanzia kilo 31 - 1000, Tsh 4000@kilo
Kuanzia 21-30 , Tsh 4500@kilo
Kuanzia 11-20,5000@ kilo
Kuanzia 8-10, 6000@kilo
Kuanzia 4- 7 , 7000@ kilo
Kuanzia kilo 1 hadi 3, 10000@kilo
CHIA ZETU NI SAFI KWA KIWANGO CHA KUFAA KULIWA MOJA KWA MOJA
gharama za usafiri ni juu ya mteja.
Nipo Karagwe Kagera Tz
Mawasiliano: 0765454416 au 0622229655
Karibuni sana🙏🙏🙏
 
Unauza kitu kisichojulikana kwa wengi.
Ungetoa maelezo kidogo kuhusu hiyo kitu ili watu waifahamu.
 
Mbegu za chia husaidia:
  • Kutibu na kukinga magonjwa ya Moyo
  • Kutibu na kukinga magonjwa ya kisukari
  • Kukinga na kutibu magonjwa ya presha
  • Kuimalisha afya ya ubongo(akili)
  • Kuutia mwili nguvu
  • Kusaidia kuimalisha na kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni
N.k.
Karibu kwa maswali zaidi
 
Kaka acha uvivu kwenye biashara
Toa maelezo ya kutosha + picha.
Watu hawajui ni nini hiyo kitu
 
Ndo nimi hicho hizo mbegu unakula zinasaidia nini?
 
Back
Top Bottom