astalavista
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 261
- 304
Kwasasa hapana mkuu.Vipi WhatsApp naweza pata the same services
Kama WhatsApp broadcast
Karibu sana mkuu, huduma hii unaweza kupata popote ulipo. Hata huo mfumo na hizo msg utawekewa kabla hata ya kulipia msg yoyote.Toa maelezo vizuri sio kila mtu yupo dar humu au iyo service yenu ni kwa dar pekee
SMS moja ni kiasi gani?Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree.
Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale.
Sisi ndiyo tunawauzia hao wengine wanaouza huko mtaani. Sasa usipite kwa dalali, karibu Moja kwa moja ofisini kwetu hapa Sinza Madukani, jengo la Emirates 3rd floor upate kilicho sahihi sana.
Nipigie/WhatsApp
0795790411
View attachment 3557325
Kuanzia msg 10000-50000 ni shilingi 15, bei inapungua kadri unavyochukua msg nyingiSMS moja ni kiasi gani?
Mkuu Mobishastra Technologies wanatoza 13; sprintsmsservice.com wanatoza 11. Wateja tupo wengi kama ukipambana na waliokutanguliaKuanzia msg 10000-50000 ni shilingi 15, bei inapungua kadri unavyochukua msg nyingi
Hata sisi tunatoza shilingi 7, inategemea unachukua msg ngapi mkuu.Mkuu Mobishastra Technologies wanatoza 13; sprintsmsservice.com wanatoza 11. Wateja tupo wengi kama ukipambana na waliokutangulia
Hapa kwetu API tunafanya buree, Support 24/7, training free. Karibu mnooMkuu Mobishastra Technologies wanatoza 13; sprintsmsservice.com wanatoza 11. Wateja tupo wengi kama ukipambana na waliokutangulia
Kwa bei ya 7 ni pamoja na VAT?Hata sisi tunatoza shilingi 7, inategemea unachukua msg ngapi mkuu.
Nje ya VAT.Kwa bei ya 7 ni pamoja na VAT?
Kwa heriNje ya VAT.
Karibu tenaKwa heri