Pata blogu ya kupendeza kwa 15000/=

Pata blogu ya kupendeza kwa 15000/=

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
694
Reaction score
1,058
Wakuu kuna Blogu ukiziangalia na Content yake haviendani ,content nzuri but poor Design.
Sasa naweza kukusaidia kupata design nzuri kwa Buku kumi na Tano tu. 15000/=.

Hata kama huna Blogu Unakaribishwa.

Mfano wa Jamaa niliyemsanifia wa Blogu hii: Mkata Mkaa.. 🙂

Note: Design utaiyona vizuri kama utatumia PC:lock1:

Text/Call/WhatsApp-0714486466
 
Wakuu kuna Blogu ukiziangalia na Conteny yake haziendani ,content nzuri but poor Design.
Sasa naweza kukusaidia kupata design nzuri kwa Buku kumi na Tano tu. 15000/=.

Hata kama huna Blogu Unakaribishwa.

Mfano wa Jamaa niliyemsanifia wa Blogu hii: Mkata Mkaa.. 🙂

Note: Design utaiyona vizuri kama utatumia PC:lock1:

Text/Call/WhatsApp-0714486466

Akhsante Sana Kwa MSAMIATI Mpya Na Mzuri Wa Neno Conteny! Kweli Kuna Haki Ya Kudumisha Lugha Yetu Adhimu Ya Kiswahili Na Kiingereza Tuwaachie Wenyewe Tu...Thank You Mr. Conteny!!!!!!!!!!
 
Akhsante Sana Kwa MSAMIATI Mpya Na Mzuri Wa Neno Conteny! Kweli Kuna Haki Ya Kudumisha Lugha Yetu Adhimu Ya Kiswahili Na Kiingereza Tuwaachie Wenyewe Tu...Thank You Mr. Conteny!!!!!!!!!!
Mkuu inabidi ukapimwe macho CCBRT,hakuna sehemu nilipoandika hilo neno. BTW unaandika bila mpangilio wa Herufi kubwa na ndogo!! Mwalimu wako wa mwandiko shule ya msingi akikuona.. she/he will fee so [h=3]embarrassed[/h]
 
atukukatishi tamaa ila kwa design izo bora utoe bure blog zako hazina mpangilio bana jipange uje tena au shusha bei iwe ata buku ila bado sana umiza kichwa jombaa
 
atukukatishi tamaa ila kwa design izo bora utoe bure blog zako hazina mpangilio bana jipange uje tena au shusha bei iwe ata buku ila bado sana umiza kichwa jombaa

Moja,Mimi sio Jombaa wako. Pili,Kajifunze kuandika vizuri ndo uje ukosoe huu uzi. Tatu,wewe ni nani hadi unikatishe tamaa??

mm nimenuelewa ww blog una design kwa elfu kumi na tano unajielewa kweli ww au unatuharibia kazi za watu

Nne,naona umepanic sana unaishi mjini kwa kutengeneza Blog??

Tano,Umeolewa?maana unajiita Bado nipo
 
Biashara maelewano kumbuka si ndio tunaelewana

Lugha nzuri kwa wateja mbona unakosa utapata wateja kwa stail hii..??
1,Sihitaji uwe Mteja wangu.

2,Siishi mjini kwa kutengeneza Blogu.

3,This was for Interested People na kuwasaidia watu ambao wanalanguliwa huko mitaani kwa sababu hawajui html/Xml and so on..
Mie nina buku kama uko vizuri ni pm
4,Kauli uliyotumia ni Kejeli na isiyo ya kiungwana.

5,Mkuu una kipele?:lock1:
 
1,Sihitaji uwe Mteja wangu.

2,Siishi mjini kwa kutengeneza Blogu.

3,This was for Interested People na kuwasaidia watu ambao wanalanguliwa huko mitaani kwa sababu hawajui html/Xml and so on..

4,Kauli uliyotumia ni Kejeli na isiyo ya kiungwana.

5,Mkuu una kipele?:lock1:

kama kweli una nia ya kuwasaidia watu 15,000 bado ni kubwa wewe fanya bure au hata buku sio mbaya
 
poa ndugu izo ni changamoto tu unachotakiwa kufanya kitu kizuri siyo unatuletea vitu vya ajabu website nazo sh ngapi 30000
 
Back
Top Bottom