Pata ardhi kwa bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata ardhi kwa bei nafuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by zumbemkuu, Jun 24, 2012.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  PLOT 2 zilizoshika zipo BUNJU A BLOCK 6, moja ina ukubwa wa 1450sqm na nyingine 1250sqm,
  zina hati, kila moja inauzwa milioni 50.

  PLOT 1 inauzwa, ina nyumba kuukuu, ipo oposite na exim bank Buguruni Rozana, ni corner
  plot, commercial plot. ina ukubwa wa 450sqm, bei milioni 350.

  PLOT 1 inauzwa, ipo Yombo CCM karibu na ABIOLA, ipo barabarani, ina ukubwa wa 459sqm.
  bei milioni 45.

  kwa anayehitaji wasiliana nami kwa namba 0786407235/0764834622 na 0715686424

  NOTE:

  mimi sio dalali ila wenye Plots ni ma'clients wangu na wananitumia mimi kama mshauri wao wa maswala ya ardhi, niliwachorea ramani za nyumba ndo wakaniomba niwasaidie kutafuta wateja wa plot zao, pia najaribu kubahatisha kupata kazi ya ku'design ramani ya jengo kwa atakayenunua. (mimi ni graduate architect)

  JF daima.
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,534
  Likes Received: 1,435
  Trophy Points: 280
  Sasa kama wewe sio Dalali mbona unafanya kazi ya Udalali? mie naona wewe sio Dalali ila wewe ni Balali
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,936
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  mkuu hujajishughulisha kusoma thread yote!
  mimi ni architect, udalali sio kazi yangu, plots hizi zimetokea by chance kutoka kwa clients wangu.
   
 4. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,659
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Huna viwanja mbezi, oysterbay, kunduchi, kawe?
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,118
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ku design ramani ya jengo, mfano nataka nyumba standard ya kisasa yawezani-cost how much. Naomba usiseme inategemea na hiki, kile wala nini. Kama inategemea na hiki....wekA bei yake. Na kama inategemea na kile weka bei yake pia,. Yani you just explore all the possibilities na come up with explanation ambayo itakua informative kwa jf members wote (Ukiweka vimichoro na picha sio mbaya pia). No PM stuff. Nikiridhika, towards the end of this year, we will do business together
  Samahani kama ntakua nimekukwaza
   
 6. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  So long as umeamua kufanya udalali, wewe ni dalali tu. Mbona watu wengi tu madalali humu JF, Hebu tuambie sasa bei za wenyewe ni sh ngapi kwa hizo plot?
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Sasa kama sio dalali kwa nini umeweka namba zako na si za hao ''clients'' wako?
   
Loading...