onecimus monohypo
Member
- Jan 19, 2014
- 13
- 7
Habari wanajamii forums,
Kwa wanaohitaji ramani za Nyumba nzuri na za kisasa zinapatikana hapa na kwa bei nafuu zaidi, unachotakiwa kufanya ni kutupatia wazo(idea) ya Nyumba yako unavyotaka iwe pamoja na ukubwa wa kiwanja chako kisha utachorewa ramani ambayo ina michoro yote inayohitajika kwa ajili ya ujenzi.
Pia zipo ramani ambazo tayari zishachorwa na unaweza badilishwa kulingana na matakwa ya mteja.
Michoro hiyo itakuwa na vitu vifuatavyo:
1. Site Layout
2. Foundation plan
3. Floor plan(s)
4. Elevations zote nne yani muonekano wa Nyumba mbele,nyuma, kushoto na kulia.
5. Roof plan
6. Section view
7. Doors & windows schedule hii huonesha aina pamoja na vipimo vya milango iliyotumika.
Sent using Jamii Forums mobile app