Pata Ajira na GPA yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata Ajira na GPA yako

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Billie, Jun 6, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Hivi huu mtindo wa organisations(both private and government kuacept job applications kwa watu wa UPER SECOND na kuendelea unasaidia nin? Nauliza hivyo kwa kuwa kuna wanachuo ambao wanatumia mtindo wa kujuana na malecturers na wengine kudiliki hata kununua maksi kwa kutoa fedha na penzi ili apate level hiyo ya ufauru.My take ni kwamba kwa nin organisations zisitumie mtindo wa interview kushortlist waombaji kuliko kumbana mtu kwa GPA coz what i believe ni kuwa mwenye less than upper second GPA sio kwamba hafai kabisa.Sote tunajua sababu inayoweza kumpelekea mtu mwenye smart mind kupata GPA below ya uper second ikiwemo
  1.Hira kati ya mwalimu na mwanafunzi may be mmegongana kumfuata kimapenzi msichana mmoja,kwa msichana kumkalia mwalimu wa kiume kufanya nae mapenz n.k
  2.Kufundishwa na mwalimu ambae ni complicator (katika miaka yako 3 au 4 ya degree ya 1 ukikutana nao hawa walimu kama hawa wa5 wanatosha kukushusha GPA yako maana hawa walimu wana kitu kinachoitwa education jelous
  3.kuna matatizo ya kifamilia,mapenzi ambayo yana nguvu sana haswa kwenye jamii ya kimaskin kama Tz
  Nimejikuta naandika yote baada ya kumuona rafiki yangu ambaye ninamkubali sana kwa kuwa ana smart mind na yupo bench miaka 2 kila akijaribu kusogea kwenye interviwe anaambiwa "hiyo GPA yako ya 3.4 haifai" japokuwa kuna baadhi ya organisation hazitoi limit za GPA.
  JAMANI ndugu wana jf mnalionaje hili tatizo coz linakatisha tamaa wahitimu wengi
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Mpaka sasa nipo 2year nimekutana na malecture complicator kama 7 Gpa
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  3.4 mbona kubwa?nachoelewa limitation hasa inakuwa kama unataka kuapply kwenye academic positions.Ila private sector sahv wanaangalia zaid utendaj kaz,mambo ya GPA yanakuja mwishon
   
 4. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkiwa shule mnacheza,mkiingia mtaani ndio mnaujua umuimu wa gpa,acheni kulia si mlichezea wenyewe wakati,pindi wenzenu wanakamua kitabu........
   
 5. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Watu wa UDSM cjui tutafanyaje sasa
   
 6. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  YAANI mambo ya gpa hayo hayana maana anaweza kuwa na gpa nzuri ila utendaji hakuna kitu
   
 7. 7

  7son Senior Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  UDSM wamefanyeje tena, sema we kilaza utafanyeje mana kuna uDSM kibao wamepiga fresh tu, upper second na first class
   
 8. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  He he he elimu ni uwezo sio cheti, Albert Enstain anasema education is what remains after one has forgotten everything he learned in school... Baada ya kusahau formula na notes zote ulizomeza shule tutakupima kama umesoma kwa kuangalia the way unavyopambana na changamoto/mitihani ya maisha
  Na kufanikiwa,

  Gpa mbwembwe tu madogo na pia zisiwatishe as maksi za mtu aliyenunua mitihan au kutoa penzi zinajulikana as kama ukiwa na first class chuo basi ifanane na vyeti vyako vya form 4 with div 1, form 6 div 1 hapo tutakuelewa na interview umwage sera zako vizuri, but unakuta mtu form 4 ka reseat mara 3, form 6 principle za kuunga unga may be div 3 ya kupumulia mashine halafu ghafla chuo first class lazima tukutazame mara mbili
   
 9. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Sasa jiulize hadi ukimaliza utakuwa mgeni wa nani? Hii kitu inaboa sana sera za ajira za nchi zilitazame hili swala
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  maana wengi wako below 3.5.
   
 11. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Ina maana ndugu matumbo haukuilewa mada au unazidi kulea ugonjwa wako wa kuropoka?
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  senetor imefikia point sura ni zilezile ndizo zinazonana kwenye interview hii ni hatari ujue
   
 13. a

  achilles Senior Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Interview is the most realistic way to measure a person's fitness in a particular field.GPA mbwembwe tu.Wale wanakwetu wa UDSM main campus waliosoma year 2010 third year linguistics mtakumbuka kuna semina leader mmoja bonge la kilaza ila kapata kazi.Pia kuna mama flani idara hiyohiyo ni kimeo ile mbaya.Tukiangalia GPA lazima kuna sehemu tija itaporomoka
   
 14. K

  KVM JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  I always get disgusted and embarassed when I find a supposedly university graduate cannot express himself/herself nicely. What does the following sentence mean?
  Mpaka sasa nipo 2year nimekutana na malecture complicator kama 7 Gpa

  I dont think the writer deserves to be called a university graduate. I stand corrected.

  Pili nijuavyo mimi mpaka utakapomaliza chuo kikuu utakuwa umekutana na walimu wengi sana. Kama kila profesa utamhomga pesa au mapenzi mpaka unamaliza basi utatoka chuoni umechakaa kabisa. Ni wachache mno watakaoweza hilo.

  Kuhusu GPA inatambulika sehemu nyingi hasa wakati unataka kusomea digrii nyingine. Kuna makampuni mengi vilevile yanatumia GPA kuchuja wale wanaoomba kazi kabla ya kufanya mahojiano nao.

  Hata hivyo ningekuwa mimi ningetumia GPA na vilevile kuangalia chuo kilichotoa hiyo digrii. Vyuo viko vingi na vina ubora tofauti.

   
 15. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu una maanisha nini hasa hapa. Kwamba jamaa hawatoa A za kumwaga au hawaeleweki darasani au masomo yao magumu sana kuyaelewa au vipi hasa. Ukisikia mtu anamlalamikia Lecturer zaidi ya mmoja akiwa shule ujue yeye ndiyo haswa tatizo. Haiwezekani malecturer 7 wote uwaone ni ma-complecator kama uwezo wako ni mkubwa darasani. Kuna mtu aliwahipata A zote kasoro moja akapata B+ ikabidi wakati wa kikao examiners wamuulize mwalimu wa somo ana tatizo gani?, iweje yeye tu ndiyo atoe B+. Na kuna mwingine nae alipata C chache na D pia akawa na A moja ikabidi aliyetoa A aulizwe swali hilohilo.
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  We itakuwa hujakutana na macomplicator...utakuta course nyepesi, ufundishaji shallow mwisho wa siku itihani haijibiki hata umpe yeye mwenyewe afanye...nimekutana nao kama watatu katika maisha yangu ya undergraduate
   
 17. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Kazi kwelikweli
   
 18. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,333
  Likes Received: 2,335
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja hao ndio wanawafanya watu waonekane viraza hata kama wanajisomea kwa juhudi.
   
 19. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tumieni muda wenu vizuri mkiwa huko vyuoni kwenu
   
 20. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna sehemu wanaangalia GPA kama kigezo kwa mfano academic na research institutions. Sehemu nyingi wanaangalia uwezo wako wa kujibu hoja, kuchanganua hoja na kujiamini (katika interview ya kweli isiyo na upendeleo). Kama interview ni ya kazi kwa vitendo wataangalia uwezo wako wa kujifunza mapema na kuadapt mazingira na utatuzi wa changamoto. There is no clear relationship between GPA and work perfomance lakini There is clear relationship between high craming capacity( sometimes understanding) and high GPA.

  Ila kumbuka kitu kimoja Undergraduate degree inamuandaa mwanafunzi kuweza kufikiri kwa haraka na kutafuta ufumbuzi kwa haraka pale changamoto au tatizo linapotokea, ndio maana ukikutana na mtu wa diploma katika field sawa na wewe atakuzidi vitendo lakini wewe utategemewa kutatua na kutoa ushauri wa shughuli mbalimbali.

  Wahongaji wa malectures- hawa ni wazembe wachache ambao hawapendi kutumia vichwa vyao na muda wao kukaa chini kujisomea hivyo njia pekee wao ni kuhonga. Kumbuka ule usemi usipotumia bongo yako basi utautesa mwili wako kutimiza mahitaji yako.
   
Loading...