Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

"Fuateni yale niyafundishayo na si niyatendayo"
 
Mkuu ukiwa JF ni haki yako kupata habari mbalimbali na hii ni habari kwa wanaJF. Kumbuka tukio hili ni kubwa ambalo endapo watumishi wa Mungu watasoma hapa watajifunza kitu fulani. Nafikiri hata wewe kuna kitu umepata kwa kusoma thread hii.


Halina ukubwa wowote kwani si jipya chini ya jua. Huu ni udhaifu wa wanadamu. Kaeni mumshughulikie kwa mujjibu wa maandiko. Kwani ameuaibisha mwili wa kristo kwa kiasi kikubwa.
 
Mwingine (Pastor wa kanisa jirani na kijiji naye ni wa EAGT) achongewa na mkewe kwa kutokuwa mwaminifu katika ndoa yake; mambo juu ya mambo. Hayo yamejiri leo baada ya mke wa Pastor huyo kutinga ndani ya kikao cha maaskofu na kumwaga siri za mmewe....! Naendelea kufuatilia wakuu!
 
Back
Top Bottom