Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

Hivi neno ''tomasa'' limetokana na neno ''tomaso'' kwa logic ya Tomaso kumshika Yesu mikononi na ubavuni ili kujiridhisha kama ni yeye kweli aliyefufuka au nini chanzo cha neno hili wakuu?
 
hivi ktk akili yako unajua ma pastor hawana mboo. au hawajui nyumba ndogo. au unahisi wameridhika na wake zao kama wewe. kalagabaho. nyumba ntobho muhimu na wengi wanazo
 
Barua ya nni tena sasa uweke hata copy ya barua watu waridhike
 
hivi ktk akili yako unajua ma pastor hawana mboo. au hawajui nyumba ndogo. au unahisi wameridhika na wake zao kama wewe. kalagabaho. nyumba ntobho muhimu na wengi wanazo

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani
 
Hivi neno ''tomasa'' limetokana na neno ''tomaso'' kwa logic ya Tomaso kumshika Yesu mikononi na ubavuni ili kujiridhisha kama ni yeye kweli aliyefufuka au nini chanzo cha neno hili wakuu?

Mkuu neno tomasa mzizi wake wa kiswahili ni "tomas~" lakini jina Thomaso maana yake ni pacha; zaidi pitia au BOFYA HII. kujua maana ya jina na asili yake.
 
Aisee JF raha sana. Ingekuwa ni lazima maoni yapimwe na TBS sijajua ingekuwaje.
Huo mpango ulipangwa watu hamtaki huyo mchungaji kwa hy hz ni sababu tu.
 
nashukuru ila nlichokuwa nataka haswa ni ukweli kwamba neno tomasa limetokana na kitendo cha Thomas [Tomaso] kumpapasa Yesu mikononi na ubavuni au lah!!

Hapana mkuu, hayo ni maneno mawili tofauti na yenye maana tofauti. Waweza BOFYA HII pia.
 
Aisee JF raha sana. Ingekuwa ni lazima maoni yapimwe na TBS sijajua ingekuwaje.
Huo mpango ulipangwa watu hamtaki huyo mchungaji kwa hy hz ni sababu tu.

Mkuu ushahidi upo wa barua yake mwenyewe mchungaji na amekiri mbele ya wazee wa kanisa kuwa ni barua yake na huyo binti walianza naye siku nyingi. Ukitaka maelezo ya ziada niPM nikupe namba za simu za wanaolifahamu suala hili kwa undani zaidi.
 
Katika kuufungua mwaka mpya 2014 Mchungaji wa kanisa la EAGT lililoko katika kata ya Bulige, Msalala, Kahama alikutwa na binti wa kilokole ambaye ni mshirika wa kanisa lake wakiwa zero distance katika kichaka kimoja kilicho umbali wa km 1 toka lilipo kanisa la pastor huyo. Siri ya Pastor huyo zilianza kuvuja tar 31.12.2013 na baada ya uchunguzi wa kina tar 01.01.2014 barua iliyoandikwa na mchungaji huyo kwenda kwa binti ilinaswa na intelejensia waliopo kanisani humo, ambayo ilikuwa inamtaka binti akutane na Mchungaji huyo ktk eneo muda wa saa 1:30 usiku.
Baada kukamata barua hiyo intelijensia hao waliweka ulinzi katika eneo husika ili kumdaka pastor huyo anayechunga kondoo wa Bwana; tar mosi binti alifika eneo akasubiri lakini pastor hakutokea na baada ya kusubiri sana binti aliamua kuondoka na mara Pastor naye akafika kakuta binti kaondoka eneo hilo. Kesho yake yaani tar pili kama kawaida walinzi walikwenda eneo hilo tena kujificha wasionekane na mara binti akafika na muda si muda naye Pastor akafika na kuanza tomasatomasa na mambo mengine kama kawaida, ndipo walinzi waliposogelea eneo lao na wao kuanza kutimua mbio lakini binti alikamatwa huku mchungaji akijitahidi kutimua mbio na kushinda marathoni. Baada ya kesi pastor alikubali kosa na kuwaomba wazee wa kanisa wamsamehe kwani wakimsema kwa wakubwa atafukuzwa kazi na kumfanya aishi maisha ya taabu kwani kwasasa anaishi kwa msaada wa kanisa lake la EAGT. Wazee wamemsamehe lakini kanisa limegawanyika kwa kuwa wengine wanasema anastahili kutengwa na wengine ambao wengi wao ni ndugu, jamaa na rafiki zake wanamuunga mkono kuwa aendelee kula kondoo wa bwana kwa kuwa ni halali yake.

Ndo hayo jamani ya ufunguzi wa mwaka mpya 2014.
Acha urongo wewe, hao walikuwa kwenye maombi ya dhati huku Mchungaji akiendesha sala ya toba na maungamo kwa huyo mwana mpotevu wake!
 
Hili neno la intelijensia hili, khaa kova kweli kafanya kazi
 
Acha urongo wewe, hao walikuwa kwenye maombi ya dhati huku Mchungaji akiendesha sala ya toba na maungamo kwa huyo mwana mpotevu wake!

Teh..teh.. teh.. Kwi., kwi....kwi..! Machakani lo.!
 
Katika kuufungua mwaka mpya 2014 Mchungaji wa kanisa la EAGT lililoko katika kata ya Bulige, Msalala, Kahama alikutwa na binti wa kilokole ambaye ni mshirika wa kanisa lake wakiwa zero distance katika kichaka kimoja kilicho umbali wa km 1 toka lilipo kanisa la pastor huyo. Siri ya Pastor huyo zilianza kuvuja tar 31.12.2013 na baada ya uchunguzi wa kina tar 01.01.2014 barua iliyoandikwa na mchungaji huyo kwenda kwa binti ilinaswa na intelejensia waliopo kanisani humo, ambayo ilikuwa inamtaka binti akutane na Mchungaji huyo ktk eneo muda wa saa 1:30 usiku.
Baada kukamata barua hiyo intelijensia hao waliweka ulinzi katika eneo husika ili kumdaka pastor huyoí anayechunga kondoo wa Bwana; tar mosi binti alifika eneo akasubiri lakini pastor hakutokea na baada ya kusubiri sana binti aliamua kuondoka na mara Pastor naye akafika kakuta binti kaondoka eneo hilo. Kesho yake yaani tar pili kama kawaida walinzi walikwenda eneo hilo tena kujificha wasionekane na mara binti akafika na muda si muda naye Pastor akafika na kuanza tomasatomasa na mambo mengine kama kawaida, ndipo walinzi waliposogelea eneo lao na wao kuanza kutimua mbio lakini binti alikamatwa huku mchungaji akijitahidi kutimua mbio na kushinda marathoni. Baada ya kesi pastor alikubali kosa na kuwaomba wazee wa kanisa wamsamehe kwani wakimsema kwa wakubwa atafukuzwa kazi na kumfanya aishi maisha ya taabu kwani kwasasa anaishi kwa msaada wa kanisa lake la EAGT. Wazee wamemsamehe lakini kanisa limegawanyika kwa kuwa wengine wanasema anastahili kutengwa na wengine ambao wengi wao ni ndugu, jamaa na rafiki zake wanamuunga mkono kuwa aendelee kula kondoo wa bwana kwa kuwa ni halali yake.

Ndo hayo jamani ya ufunguzi wa mwaka mpya 2014.
Hao mbona ndio zao!tusha wazoea hao ,ni mabingwa wa kutafunana.
 
Back
Top Bottom