Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

Pastor wa EAGT akutwa na mwanamke machakani.

Mkuu bahati mbaya picha zilizopigwa zina giza tu na waliokamatwa hawaonekani vizuri. Lakini ushahidi 100% upo hapo kanisani na barua ipo.
Sa si ukachukuwe kanisani hiyo barua nauiweke hapa... Halafu je ina sahihi ya pastor...??? Maana hamkawii kuandika wenyewe
 
Shetani tu alimpitia. Nadhani hapo hawajamsaidia wangemuacha amalize matatizo yake na wamfungishe ndoa palepale
 
Mkuu ushahidi upo wa barua yake mwenyewe mchungaji na amekiri mbele ya wazee wa kanisa kuwa ni barua yake na huyo binti walianza naye siku nyingi. Ukitaka maelezo ya ziada niPM nikupe namba za simu za wanaolifahamu suala hili kwa undani zaidi.

mkuu hatujabisha kitu. kila mtu anaijua raha ya kutomasa maziwa ya msichana mbichi hasa ukiyatia mdomoni ukitilia maanani kwamba mke wa pastor ni mkweche au mtumba kwisha kazi. nyumba ntobho acha
 
Likashanda loboshika lilokondondela lakalobostini lombolololo bakandalela shika baka shika bala loshindolwako!
 
Mkuu bahati mbaya picha zilizopigwa zina giza tu na waliokamatwa hawaonekani vizuri. Lakini ushahidi 100% upo hapo kanisani na barua ipo.

Kama ushahidi upo kanisani nini lengo lako la kuleta thred hii hapa?
 
Uongo nia nikuharibu kazi ya Bwana shindwa mara useme mtego ni ulikuwa wa tar mbili

Mara kakamatwa tare tatu huuniuzushi shindwa
 
Likashanda loboshika lilokondondela lakalobostini lombolololo bakandalela shika baka shika bala loshindolwako!

Lobotomasa maziwa kishakakani na muzjana mudododololo . Vululula kyupi kako natakaasasa kupimameni jotroo la papyuchiooo ngololosade nami boxa kushavululalakwenye nyasisisiii usiogopange nyokaangu au ya ukweliliimamatobayarabibi
 
Kwi kwi kwi kwi kwi.....
 
Mkuu source ni jamaa yangu wa karibu ambaye amenikabidhi na barua iliyoandikwa na Mch. huyo kwenda kwa binti.

Ushahidi wa barua ni mdogo saana kwasababu mtu yeyote anaweza andika nia ikiwa ni moja tu kumchafua pastor. Kama mnamtenga pastor kwanini na huyo binti asitengwe?
 
Kama ushahidi upo kanisani nini lengo lako la kuleta thred hii hapa?

Mkuu ukiwa JF ni haki yako kupata habari mbalimbali na hii ni habari kwa wanaJF. Kumbuka tukio hili ni kubwa ambalo endapo watumishi wa Mungu watasoma hapa watajifunza kitu fulani. Nafikiri hata wewe kuna kitu umepata kwa kusoma thread hii.
 
Isitoshe naye Pastor kwanini anakula kondoo wakati mbuzi wapo tele!!!

Aaka!
Ata hamkuli kondoo wake, anamtoa mapepo! Kule kanisani hayamtokagi hayo mapepo ndio akamsombezea kichakani!
 
Uongo nia nikuharibu kazi ya Bwana shindwa mara useme mtego ni ulikuwa wa tar mbili

Mara kakamatwa tare tatu huuniuzushi shindwa

Namheshimu MUNGU kuliko unavyonifikiria. Wala siwezi kufanyakazi ya kuharibu kazi ya Bwana. Mimi na Pastor nani anayeharibu kazi ya Bwana?
 
Ushahidi wa barua ni mdogo saana kwasababu mtu yeyote anaweza andika nia ikiwa ni moja tu kumchafua pastor. Kama mnamtenga pastor kwanini na huyo binti asitengwe?

Takbir losholomanununuabacheni kumpakazia mtumishi. mshindwe na mlegee ninihii zenu.
 
Ibada c lazma kanisani, ipo ibada nje ya kanisa
Milimani, majumbani, ....
Mchungani akiwa na kondoo popote ww weka imani anachungwa hayo mengine ni uzushi wenu na fikra zenu
 
Ibada c lazma kanisani, ipo ibada nje ya kanisa
Milimani, majumbani, ....
Mchungani akiwa na kondoo popote ww weka imani anachungwa hayo mengine ni uzushi wenu na fikra zenu

Kama ni hivyo alitimua mbio kwasababu ipi..!?
 
Wewe photo mee anayeharibu kazi ya "Bwana" ni huyo mchungaji mliyempa mamlaka ya kuchunga kondoo, siyo mleta mada anayetupasha habari!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom