wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,574
Uislamu biashara iliyoambatana na sheikh Sharifu majini/mwendesha ibada Mfuga majini Sheikh Yahya mwenyewe.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uislam ni biashara ya kukatisha tiketi za kwenda motoni kupitia kujitoa mhanga.ETI KISA MA BIKRA WANGAPI VILE?
Hahah ni kama kipindi kile waumini wa Gwajima pale Central alivyodakwa kwa ile inshu ya madawa ya kulevya,waumini walikesha wakiimba pale.
Magu akauliza hivi inawezekanaje waumini kwenda kuimba pale Police lkn jeshini hawawezi kwenda kuimba hahah.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa bado yupo ndani mpaka kesho dhamana yake itakaposomwa,waumini wake wanasema kama kiongozi wao hajaachiwa huru basi serikali isitarajie kupata kura kutoka kwao!!
Halafu ni mshenzi huyu nabii hupenda kuiweka Tanzania kwenye bad limelight!
Niliingia mgogoro mkubwa na x gf wangu kisa huyo jamaa,ana kanisa pia bongo liko makongo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, huyu jamaa ana ndugu /anko Bongo ,maeneo ya Mbezi beachAliwahi kuja TZ pale Ubungo Plaza Mwaka 2013-2014 nazani!
Baada ya huduma akasema wanaotaka kupanda mbegu wanyooshe mikono ,
Akaanza dola 1000, 700 na kushuka!
Akawaita mbele na kuwaombea!
Yani Mungu atusaidie wabongo!
Mimi nakwambia sikupanda mbegu yoyote!
Kuna mazingira nikitaka kutoa sadaka natoa lakini siamini ktk matangazo ya kutoa sadaka kwa kunadi mwenye hela nyingi aonekane na asiyekuwa nazo!
Halafu miaka hii imekuwa ni fasheni ya utoaji sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Major 1 amegeuka kuwa Koplo 1
Sent from my iPhone using JamiiForums
ule ni utapeli, unawambia watun wamtolee mungu halafu we unachukua unanunua ndege ilitakiwa aseme strait nitoleeni mimi then azitumie atakavyo, hivi ukituambia tumchangie babu/bibi yako halafu ukatumia pesa hizo kununua maliyako binafsi huo si utapeli?Nadhani unatumia vibaya neno "Utapeli". Huenda hujui mahali pa kulitumia. Anaposema; Inuka umtolee Mungu wako" wewe unainuka kwenye kiti, unatoa wallet yako unachomoa huko misimbazi 10 unaenda kuiweka pale mbele kwenye kapu. Hujadanganywa kuwa unayemtolea anakwenda kukununulia ndizi mbivu bali unaambiwa umemtolea Mungu. Huo utapeli umetoka wapi?
Maneno mengi yatatutia hatiani siku moja. Ati kaenda kununua ndege, ulitaka akakope? Mbona kuna kiongozi mmoja alinmunua 6 tena cash.
Ninabishana au naelewesha?? Kwanza sema interest zako ni nini?? Wewe ni mkristo? Unaijua sawa imani yako au umeshikishwa tu wala hujui hata ulicho amini??ule ni utapeli, unawambia watun wamtolee mungu halafu we unachukua unanunua ndege ilitakiwa aseme strait nitoleeni mimi then azitumie atakavyo, hivi ukituambia tumchangie babu/bibi yako halafu ukatumia pesa hizo kununua maliyako binafsi huo si utapeli?
Nadhani unatumia vibaya neno "Utapeli". Huenda hujui mahali pa kulitumia. Anaposema; Inuka umtolee Mungu wako" wewe unainuka kwenye kiti, unatoa wallet yako unachomoa huko misimbazi 10 unaenda kuiweka pale mbele kwenye kapu. Hujadanganywa kuwa unayemtolea anakwenda kukununulia ndizi mbivu bali unaambiwa umemtolea Mungu. Huo utapeli umetoka wapi?
Maneno mengi yatatutia hatiani siku moja. Ati kaenda kununua ndege, ulitaka akakope? Mbona kuna kiongozi mmoja alinmunua 6 tena cash.